Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 45,030
- 111,617
Huko hapana maswala ya kunywea maji kwenye vibuyu hayafai.Msata Kilingeni
Huko hapana maswala ya kunywea maji kwenye vibuyu hayafai.Msata Kilingeni
Karibu sana.. Karibu bila shakaHabari Kaka mkubwa ,heshima kubwa kwako .
Mimi nina Jambo nataka kuongea na wewe alafu nitakuwa na mda siku ya sikukuu ,naomba nikubalie siku hiyo nije kwako tuzungumze maana hili Jambo linanitatiza Sana .
Ila naomba ukubali kunisikiliza Ila nyumbani kwako
Nilijua unasema karibu,kumbe kila mtu akiweza afanye nyumbani kwake?Mimi hasara sina kama huyo mwamba hapo juu tu.