JanguKamaJangu
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 3,177
- 7,472
ndugu zangu wana CUF,

ndugu zangu wana CUF,
mnajipotezea muda na wakati wenyewe.
kaeni chini na kuamua mambo yenu kwa usahihi bila kukiuka misingi na sheria za chama chenu, vinginevyo mtapata tabu sana kupambana na mamalaka za serikali ambazo hazina cha kupoteza![]()
Gentleman,lkn jambo ambalo labda unasahau ni kwamba mamlaka siyo static, na yoyote yule anaweza kuwa hayo mamlaka, hao ambao wewe unawaona ni miungu na kuwasujudia kwa kuwa tu wanacommand mamlaka leo kesho wanaweza wakawa upande wa upinzani pia siajabu hata jela kama walivyomuweka Tundu Lisu na kulalamika kudai haki kama vile Tundu Lisu anavyodai haki leo hii na ninyi kumkejeli, tuliona wakati wa Magu wengi wa ccm vibope wanaotamba leo hii walikuwa upande wa upinzani mpaka wengine walikuwa kila mwaka mpya wanarusha fataki kijijini kwao bagamoyo leo hii wana mamlaka tena sherehe za mwaka mpya hatuzioni tena, hivyo waache wapambane kwani mamlaka siyo static na inaweza kwenda either way wakati wowote ule, its worth the fight ...

Gentleman,
hizo ramli na imani potofu dhidi ya mamlaka za dunia zimechelewesha wengi sana, huenda pia nawe ni miongoni mwao.
wakati ni sasa na kama sio sasa ni sasahivi,
ukishupaza shingo na kujipa matumani kwa kiburi nonsense utaisoma namba mno na hakuna kitu utafanya dhidi ya mamlaka za serikali![]()
utachelewa mno na hizo ramli nonsense gentlemanmamlaka siyo static, mwenye mamlaka leo kesho hawatakuwa nayo kwa sababu tofauti tofauti kama kwa mfano kifo ni mwisho wa wenye mamlaka ambapo kitatoa nafasi kwa wengine kuja watakao irithi mamlaka na watakuwa tofauti na waliopita, hivyo ni sawa kuendelea kupambana ...
utachelewa mno na hizo ramli nonsense gentleman
na huna haja ya kubabaika au kua na kiherehere na mambo ya Mungu, kumpangia Mungu cha kufanya kuhusu waja wake ni ulofa wa kukosa maarifa na kupoteza uekekeo.
hakuna kitu wewe na mamaluki wenzako mtafanya TZ kwa maslahi ya vibaraka wa mabwenyenye ya magharibi.
CUF hawana haja ya kupoteza muda kujieleza kwa umma badala ya kufuata maelekezo ya msajili
ni lofa tu ndie anaeweza kujifunza jambo kutoka kwa huyo kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi au fuska mzee slaahakuna mahali nitachelewa hizo ni dynamics za maisha ...

ni lofa tu ndie anaeweza kujifunza jambo kutoka kwa huyo kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi au fuska mzee slaa![]()