Hilo swali halina mantiki yoyote, maana hata jibu lolote utakalopewa halitakusaidia chochote, na kumbuka hatufanyi jambo kwa sababu fulani kafanya bali kwa sababu ni muhimu na busara kulifanya
NCHI ZOTE TAJIRI DUNIANI ZIMEPEPERUSHA BENDERA NUSU MLINGOTI. magazeti yote ya Newsweek na Time yameisha toa toleo maalum la mandela na maisha yake. television zote muhimu duniani zinamtangaza mandela masaa 24. kipindi hiki makampuni makubwa yote yanatengeneza kitu kiitwacho, survenir( vitu kama vikombe vyenye picha ya mndera, handcachif, viberiti vya gesi, bendera ndogo NK). watu kwa jina la mndela wanatengeneza hivi sasa mabilion ya pesa kutokana na umaarufu wa Nelson Mandela.!
!
nikumbushwe tu kama south africa walipeperusha bendera nusu mlingoti na kuomboleza kifo cha nyerere.
Tz kwa kujipendekeza bhana!!!Nyerere anafariki 1999 Mandela yupo USA anaangalia mpira...leo sie twaomboleza siku tatu??? Haya bhana..
Hivi bendera kupepea nusu mlingoti ni ya taifa tu? Au hata bendera za vyama?
unajidanganya sana kufikir Marekan wanamwombolezea Mandela. wao wazungu wanajua Mandela aliwasaidia namna gan kuendeleza ulaji wao huku Africa. kwataarifa yako hiyo Marekan unayozungumzia ni mwaka jana tu imemwondoa Mandela katika list ya Magaidi wa taifa hilo. fikir chukua hatua.
aliwatetea watu weusi! But sio kutoka tanzania,sasa kwanini tunajikomba? Du! Ila bongo bwana! Tumeanza kumfananisha baba yetu 'nyerere' na baba wa watu 'mandela'
Sioni haja kwa kuwa Mandela angekuwa mwema sana angekuja kwenye msiba wa baba wa Taifa Mwalimu Jk Nyerere.