Chakorii
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 18,785
- 51,527
Na wewe si lazima uanzishe nyuzi zisizoelewekaSio lazima uelewe kila kitu
Na wewe si lazima uanzishe nyuzi zisizoelewekaSio lazima uelewe kila kitu
Eh! Mbona unaniandama hivyoo shida nini??Na wewe si lazima uanzishe nyuzi zisizoeleweka
Yes myMambo Unique Flower ? Kuna shida imetokea cute?
Oteni tuUnakuta kuna mwanaume kazaa na huyu binti mrembo
Rejea comment yangu ya mwanzo kama iko na muandamo dear.jitahidi kuwa + wakati mwingine.hakuna sehemu nimekuandama hata Kwa bahati mbaya.rudia kusomaEh! Mbona unaniandama hivyoo shida nini??
Nyuzi usipozielewa zipo nyingi tu zinazoeleweka
Hauna hata mjomba jamani huko milimani tumpeleke akapendwe
ngoja nione vile itafaa
Hahaha afadhaliKaoa na simpendii
HahahahOlewa na Mganga wewe yaani Majini ni free mode .

HahahahOlewa na Mganga wewe yaani Majini ni free mode .
na kuku kila sikuWe!Ngoja aje!!
Uongo wapi we unadhani wateja wengi kwa waganga ni jinsia ganiHuwo ni Uwongo bwana![]()

Ni wanawakeUongo wapi we unadhani wateja wengi kwa waganga ni jinsia gani![]()

Na mtoa mada ni mwanamke hapo tushapata confirmation ya statement yanguNi wanawake![]()

Mchawi ageuka shujaaNimeona Chizi Maarifa ni mchawi wakujitolea huyu mtu alikuwa ananipondea humu ila baada ya kusikia ni muharibifu nakuomba popote ulipo ninakazi kubwa naomba msaada wa uharibifu nipo serious
Pole momYes my
Asante momPole mom
Hapana siku hizi ni wanaume aiseeNi wanawake![]()
Chukua uo mzigo Mkuu mshanaNitamuweka wapi yarabi toba mimi.. Moyo wangu umeshajaa.. Nitamuonea tuu
Njoo kanisani nivunje laana yako ya kutoa Mimba maana ndo kinachokusumbua hicho kumwaga damu isiyo na hatia.Hapana siku hizi ni wanaume aisee