Taarifa Muhimu - Tafadhali Soma Hapa

Mkuu safi sana kwa kuliona hilo jambo, isiishie hapa tu katika jukwaa la MMU inabidi muwe makini kumulika post kabla ya kuwekwa jamvini. Mfano mzuri ni katika jukwaa la siasa kuna post ambazo zinawekwa makusudi na watu fulani ambao wanajulikana kwa majina na kila siku hao utupia post zenye muonekano wa kusambaza chuki za kidini matokeo yake mnatupiga BAN watu tusio na hatia kwa kuchangia maneno machafu kwenye post chafu lakini kama mngekuwa mnazi-filter mapema watu wangekuwa wanakwepa BAN zisizo na ulazima. Ubarikiwe mkuu!!
 
jamani wadau mmesahau kunausemi unao sema kwanye upepo mzuri hapakosi vumbi. aina maana nawaunga mkono wenyetabia hizo la ila twendeni nao taratibu wacje kutuaribia mambo. nanyie mnaofanyahivyo komaeni basi kiutashi.
 
INNOVATOR ushaacha kazi ya umod au maana naona kwenye hili jukwaa siku hizi watu wanatuchezea akili yaani mtu anakuja na thread ya hivi baadae anaandika nyingine ya hivi so zinatuchnlanganyna inaonekana uongo
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom