Taarifa Muhimu - Tafadhali Soma Hapa

hapa penyewe wameanza kumessup! watu hovyo sana, msisahau kuondoa ilr cread yang ,,ya mkasa. maana thread yang ikanigeukia
 
Kweli kabisa bebii kila ukifungua pdidy mpaka unachoka na zote zinaongelea mada ile ile mahusiano na mapenzi.

kama post zote zinaongelea mada ile ile sawa lakini kuhusu kuweka post nyingi hakuna shida kwani JF ina active register members 80652 hapo utaona kwa siku post zinaweza ingia ngapi unless kama unachangia kwa kuangalia nani ameweka post na sie thread inasemaje ndio inaweza kukusumbua
 
Uamuzi huo ni mzuri kabisa naunga mkono.udhibiti wa taarifa zisizo na msingi lazima uwepo, hiyo itawarekebisha wengi wawe wanatoa taarifa zenye mantiki na zenye maana.nawashukuru sana kwa kuligundua hilo, nawaomba mfanye utafiti na sehemu zingine ili muweke udhibiti kama huo.
 
ni wazo jema. Tunategemea mamoderator hamtokuwa kikwazo kwa kutumiwa au kuzima thread kwa manufaa yenu binafsi.
 
=INNOVATOR;2490568]Kutokana na hali ambayo imekuwa ikiendelea humu kwenye Jukwaa la MMU kwa muda mrefu napenda kuwafahamisha members wote kuwa kuanzia sasa thread zote ambazo zitakuwa posted hapa MMU zitakuwa under MODERATION kabla hazijawa approved tumeamua kufanya hivi kwa sababu kumekuwa na mlolongo wa TOPIC zisizokuwa na maana yoyote au TOPIC ambazo kimsingi hazina mantiki yoyote ndani ya Jukwaa hili.

Halikuwa lengo letu kufanya hivi ila kwasababu hali hii imeendelea kwa muda mrefu bila watu kujirekebisha hivyo basi tumeona itakuwa ni busara tukaliweka Jukwaa hili under MODERATION kama tulivyofanya kwenye Jukwaa la Siasa, topic ambazo tunaona zinafaa kukaa hapa zitawekwa hapa na ambazo tutaona hapa sio mahala pake zitahamishwa na kupelekwa Jukwaa husika. Lengo hasa ni kufanya maboresho kwenye Jukwaa hili na kuiweka JF katika hatua nyingine tofauti na sasa hivyo tunaomba sana ushirikiano wenu.

Poleni kwa usumbufu, na wale ambao watakwazika tunawataka radhi. Sio mbaya!
 
Hii imetulia mkuu
Kutokana na hali ambayo imekuwa ikiendelea humu kwenye Jukwaa la MMU kwa muda mrefu napenda kuwafahamisha members wote kuwa kuanzia sasa thread zote ambazo zitakuwa posted hapa MMU zitakuwa under MODERATION kabla hazijawa approved tumeamua kufanya hivi kwa sababu kumekuwa na mlolongo wa TOPIC zisizokuwa na maana yoyote au TOPIC ambazo kimsingi hazina mantiki yoyote ndani ya Jukwaa hili.

Halikuwa lengo letu kufanya hivi ila kwasababu hali hii imeendelea kwa muda mrefu bila watu kujirekebisha hivyo basi tumeona itakuwa ni busara tukaliweka Jukwaa hili under MODERATION kama tulivyofanya kwenye Jukwaa la Siasa, topic ambazo tunaona zinafaa kukaa hapa zitawekwa hapa na ambazo tutaona hapa sio mahala pake zitahamishwa na kupelekwa Jukwaa husika. Lengo hasa ni kufanya maboresho kwenye Jukwaa hili na kuiweka JF katika hatua nyingine tofauti na sasa hivyo tunaomba sana ushirikiano wenu.

Poleni kwa usumbufu, na wale ambao watakwazika tunawataka radhi.

Back
Top Bottom