Nafikiri sometimes chit chat muhimu kwenye MMU ili mradi zisiwe too much. Kama hamjui hizi chit chat ndio zinazoweka hili jukwaa live. By the way hili ni jukwaa la mahusiano, mapenzi, urafiki. We're not always in this forum for hard talk. Too much hard talk inaharibu mahusiano, mapenzi and urafiki which are the cornerstone of this forum.
Seconded!Tatizo mnachelewa sana kumoderate na ku publish hizo threads. Kama jukwaa la siasa unatuma thread inachukua almost an hour kabla ya kuwa published. Hata kama habari ilikuwa ya moto, moto unakuwa umeshazima wakati mnaipublish. Hii move ya kumoderate threads kabla ya kuwa published inaweza ika backfire. Watu watakata tamaa ya kuanzisha threads.
Kwa nini mmeshindwa ku moderate threads kila zinapoanzishwa? Watu wamelalamika sana ile thread ya ajali ya meli Zanzibar ilichelewa kuwa published. Labda muwe manapublish a thread within 5 minutes from the time it was submitted. Kumbuka watu wengine wanaandika thread on the move or thread ya breaking news.
Then anata kutoa updates za habari husika anakuta bado thread haijawa published.
Kwakweli bila Chit Chat, mi mtaniharibia siku yangu, na sitakuwa na haja ya kuja hapa MMU kujadili mapenzi na urafiki kwa mastress kama vile tuko kwenye siasa au dini.Nafikiri sometimes chit chat muhimu kwenye MMU ili mradi zisiwe too much. Kama hamjui hizi chit chat ndio zinazoweka hili jukwaa live. By the way hili ni jukwaa la mahusiano, mapenzi, urafiki. We're not always in this forum for hard talk. Too much hard talk inaharibu mahusiano, mapenzi and urafiki which are the cornerstone of this forum.
waambie asprin ndo zetu hizo sio unachangia unasepa sisi ni chit chat kwa saaaanaKwakweli bila Chit Chat, mi mtaniharibia siku yangu, na sitakuwa na haja ya kuja hapa MMU kujadili mapenzi na urafiki kwa mastress kama vile tuko kwenye siasa au dini.
Mkuu Nyenjenkuru Avatar yako inannikwaza kweli... inanikumbusha maiti moja ilipata ajali ikavunjika mabega yote na kuvimba, ni tukio la siku nyingi lakini siwezi kusahau, unaweza kunisaidia kuitoa??Kweli kabisa bebii kila ukifungua pdidy mpaka unachoka na zote zinaongelea mada ile ile mahusiano na mapenzi.
Afu weye umerudi lini? Mbona hutimizi ahadi yako....sorry ofu topikiwaambie asprin ndo zetu hizo sio unachangia unasepa sisi ni chit chat kwa saaaana
sijarudi bado mzee umemuona mr rocky mahali wanakataa tusichati bwana mtafute tuchati hapa hadi page miaAfu weye umerudi lini? Mbona hutimizi ahadi yako....sorry ofu topiki
Hapo umenena jambola neema.......ODM yuko jukwaa la Maria Roza anakusubiri urudi......sijarudi bado mzee umemuona mr rocky mahali wanakataa tusichati bwana mtafute tuchati hapa hadi page mia
muite bwana tuwaonyeshe eti mtu anachangia post mojatu anazima pc kabisa hadi mwezi ujao? jf ni active bwana hadi majogooHapo umenena jambola neema.......ODM yuko jukwaa la Maria Roza anakusubiri urudi......
Hebu twende kule kwa majogoo tuache watu wachangie hii yuziful sredi.........muite bwana tuwaonyeshe eti mtu anachangia post mojatu anazima pc kabisa hadi mwezi ujao? jf ni active bwana hadi majogoo
hili ni jambo nzuri sana. kwanza hongera.Kutokana na hali ambayo imekuwa ikiendelea humu kwenye Jukwaa la MMU kwa muda mrefu napenda kuwafahamisha members wote kuwa kuanzia sasa thread zote ambazo zitakuwa posted hapa MMU zitakuwa under MODERATION kabla hazijawa approved tumeamua kufanya hivi kwa sababu kumekuwa na mlolongo wa TOPIC zisizokuwa na maana yoyote au TOPIC ambazo kimsingi hazina mantiki yoyote ndani ya Jukwaa hili.
Halikuwa lengo letu kufanya hivi ila kwasababu hali hii imeendelea kwa muda mrefu bila watu kujirekebisha hivyo basi tumeona itakuwa ni busara tukaliweka Jukwaa hili under MODERATION kama tulivyofanya kwenye Jukwaa la Siasa, topic ambazo tunaona zinafaa kukaa hapa zitawekwa hapa na ambazo tutaona hapa sio mahala pake zitahamishwa na kupelekwa Jukwaa husika. Lengo hasa ni kufanya maboresho kwenye Jukwaa hili na kuiweka JF katika hatua nyingine tofauti na sasa hivyo tunaomba sana ushirikiano wenu.
Poleni kwa usumbufu, na wale ambao watakwazika tunawataka radhi.
Kwa kweli,