Taarifa Muhimu - Tafadhali Soma Hapa

wenye kuposti ujinga soon watahamia chit chat forum

Mkuu wanaoniudhi kwenye hili jukwaa na wale wanaoanzisha thread za kutunga. Hao ndio wanaoharibu hili jukwaa. Kama Mods wakiamua kupitia threads kabla ya kuwa published sidhani kama watachuja zile za kutunga. Pia wapo wale ambao wanaigia na ID ya kile kwenye hili jukwaa na ID ya kiume kwenye jukwaa la siasa.
 



Nimeipenda saana hii habari... Sijui mtatumia Vigezo gani ila ni kweli imekua dhahiri topics zisizo za msingi zinaongezeka kwa kasi saana... (thou sio wa kale ki vile but naona baadhi ya members hasa wa MMU wakilalama...); I Just hope hamtakua too hard for ni moja ya majukwaa ambayo most members tuko relaxed... mtu akijifunza huku akiwa entertained... Hongereni kwa kazi nzuri....
 
inaweza kusaidia in responsible commenting! Ni vizuri
 
mmefanya la maana sana maana kuwa watu wanakurupuka na kuleta udaku humu
 




sawa tumekupata sana mkuu wa kazi,tatizo kubwa ninaona lipo kwenu,MNAUPENDELEO MKUBWA KATIKA KU MODERATE HOJA NA KURUHUSU ZITOKE,MFANO MNACHAGUA BAADHI YA MAJINA TU NDIYO HOJA ZAO ZINAPITA HEWANI,PIA MNACHAGUA HOJA ZINAZOPINGANA NA CHAMA FIRANI AU VYAMA FURANI TU HUKU MKIACHA HOJA YOYTE HATA KAMA INA UZITO INAYOPONDA CHAMA KIMOJA KINACHOPENDA SANA VURUGU.JF NI MTANDAO WA JAMII PLEASE TUJILEKEBISHE.
 
siungi hoja mkono wala mguu! mvuto wa jukwaa utatoweka soon!
 
Hii imetulia maana watu walianza kukimbia jukwaa kutokana na hoja zisizokuwa na msingi zilizokuwa zimejaa..
 
maji hayapandi mlima bali hufuata mkondo ushauri wa busara umetolewa fuata uone matunda yake. Uchafu wote wa dunia hii humezwa ardhi na muda ukipita hauonekani tena . tujifunze kuwa wavumilivuuuuuuuuuuuuuuuuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…