Amani, upendo na mshikamano

Amani, upendo na mshikamano

SIR MGAX

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2023
Posts
1,311
Reaction score
2,223
Hanari zenu wanaJF
Leo ni siku njingine ya dhahabu kuwapo hapa jukwaani kwa sababu ninaamini wapo ambao walitamani kuwepo hata humu tu lakini wameshindwa,hivyo ni jambo la kumshukuru sana MUNGU.

lengo na dhumuni la uzi huu ni kuja kuwatgazia habari njema ya amani,upendo na mshikamano bila kusahau umoja ambao upo katika vipengele vyooote.Na uzi huu pia ninauandika baada ya kushiba ubwabwa na dagaa mixx by bamia.

Ok kwa kuanzia hapahapa niwaombe radhi pia wale wote ambao kwa namna moja au zaidi ambao niliwatendea makosa kwa vyovyote vile na licha ya kuwa mlichukizwa au la, ila ukweli kosa ni kosa tu.lakini isitoshe ni vyema pia nipende kutangaza amani na vinginevyo kwa sababu hata MUNGU baba katika vitabu vyake aliwahi kusema

فَلَا تَهِنُوا وَتَدْعُوا إِلَى السَّلْمِ وَأَنْتُمُ الْأَعْلَوْنَ وَاللَّهُ مَعَكُمْ {35}
“Basi msilegee na kutaka amani na halinyinyi mko juu, na Mwenyezi Mungu yupamoja nanyi” (47:35)
Hayo maandiko na ni ishara ga kitaka amani wepo na idumu zaidi ya vyote,lakini pia MUNGU aliwahi pia kusema katika kitabu cha Biblia_

Mathayo 5:9
Heri wenye kuleta amani, maana wataitwa watoto wa Mungu.


Sasa tunapaswa kujiuliza je sisi ni waleta amani au tumekaza katika kutaka amani?.kama La,ni nini tunapaswa kufanya

Binafsi,mimekuwa nikuona mabishano na maneno machafu kutoka kwa members wa jukwaa hili yakurushwa kwama drones za mmarekani zikimshambulia muirani bila kujua sisi ni wana wa baba mmoja na hatupaswi kufikia pabaya badala yake ni vyema kuungana na kumshambilia adui shetani hii kiukweli imekuwa ikiniuma.
Tunapaswa kuwa wamoja na wenye upendo kwa sababu hakuna aijuaye kesho yake,maisha hayana formula.

Nipende kuwa chanzo cha kutaka suluhu kwa wote ambao mliwahi au mmegombana kwa namna yoyote na siyo humu kwenye jukwaa tu ,hata nje ya jukwaa kwa sababu no one know next second.

Kwa kuandika machache haya pia nipende kutoa shukrwan kwa Moderator kwa kuwa ujumbe huu utafanyiwa kazi na kuwafikia walengwa.
MUNGU ATUBARIKI SOTE…..Amen
 
Back
Top Bottom