Taarifa Muhimu - Tafadhali Soma Hapa

bebii elewa kuna mbumbu wengi sana hapa,sijui kwa wewe unapimaje,,lakini kuna member mmoja alituambia unaweza kumsoma mtu between lines,
mpaka uambiwe?
Wengine tunasoma btn sylabi mbona!
 
Nafikiri sometimes chit chat muhimu kwenye MMU ili mradi zisiwe too much. Kama hamjui hizi chit chat ndio zinazoweka hili jukwaa live. By the way hili ni jukwaa la mahusiano, mapenzi, urafiki. We're not always in this forum for hard talk. Too much hard talk inaharibu mahusiano, mapenzi and urafiki which are the cornerstone of this forum.
 
sijasema ni mbaya wingi wake kwa siku zaidi ya 13 jamani? Mnaona ni sawa? Kwani kuna ulazima gani hadi azilete kwa siku moja jamaniiii?

labda yeye ana uwezo mkubwa wa kufikiri na kuleta post kuliko wewe hatuoni post yako yoyote ile
 
labda yeye ana uwezo mkubwa wa kufikiri na kuleta post kuliko wewe hatuoni post yako yoyote ile
labda ni post master wa jf.. Mimi nimekaa kuchangia zaidi sio lazima wote tupost sio sifa kupost nadhani member mzuri zaidi ni anayechangia topic mkuu
 
labda ni post master wa jf.. Mimi nimekaa kuchangia zaidi sio lazima wote tupost sio sifa kupost nadhani member mzuri zaidi ni anayechangia topic mkuu

mkuu umeongea point sana,sasa wote tukisubiri kuchangia nani ataleta post??nafikiri wenye uwezo wa kujenga na kupangilia post zao tuwapongeze
 
mkuu umeongea point sana,sasa wote tukisubiri kuchangia nani ataleta post??nafikiri wenye uwezo wa kujenga na kupangilia post zao tuwapongeze
ila kwa siku member mmoja na post zaidi ya 13, tena jukwaa hilohilo sikubali khaaa? Eti mod innovator hii imekaaje member kwa siku atoe post ngapi maximum?
 
mmaaribu jukwaa
acheni watu wanyukane, just have a look how jukwaa la siasa limepooza kwa sasa?
 
ila kwa siku member mmoja na post zaidi ya 13, tena jukwaa hilohilo sikubali khaaa? Eti mod innovator hii imekaaje member kwa siku atoe post ngapi maximum?

vipi hizo post ulivyosoma ulizielewa??zina maana??au labda hukuweza kuzielewa?
 
navojua hili ni jukwaa huru we have equal rights here? Kila mtu hapa ana uwezo wa kuelewa hamna mbumbumbu hapa
wanataka kutuamulia kipi cha kusema na kisemweje
kama MMU haitakuwa huru raha ya JF itakuwa ipi?

by the way siku hizi nachungulia tuu kama mgeni na naposts marachache sana
 
vipi hizo post ulivyosoma ulizielewa??zina maana??au labda hukuweza kuzielewa?
zimenichosha yaani ni kama assigment unapewa na mwalimu sasa zimezidi si unajua kuchangia unatumia akili mkuu sasa zikizidi unashindwa cha kusema huwa nabaki kimya tu unakuta kachangiwa page mbili kwisha na member tupo kibao na topic ilikuwa tu nzuri .
 
mzee mzima hapa nimeku-pm jibu basi,naona kama tunakonect
 
Director;

Kuchagua maneno unapokuwa hadharani ni jmabo linaloonyesha UKOMAVU wa FIKRA Na UFAHAMU ..ni muhimu KUZINGATIA ushauri huu!!
 
Mkuu Bacha na INNOVATOR

@ Red Hili jambo Ni MUHIMU SANA inabidi lifanyiwe kazi kwa DHATI kabisa!

We are very rapidly loosing CREDIBILTY of what Is GREAT THINKERS

Kama iko haja ifunguliwe chat room special ....BTW... Hivi siipo?

NB: Si vibaya hata kidogo Kipengeli hiki kihusu MAJUKWAA YOTE
 
EMT

@Blue!! LoL!!!

Never tought of that Sir ...! Kumbe ndio maana mambo ya mahusiano hayaendiii loh sikujuaaa ... there is great need to jion MMU soon!! Lol!
 
Reactions: EMT
EMT

@Blue!! LoL!!!

Never tought of that Sir ...! Kumbe ndio maana mambo ya mahusiano hayaendiii loh sikujuaaa ... there is great need to jion MMU soon!! Lol!

Hujaona watu wanatoleana povu jukwaa la siasa halafu wanakuja kujifuta mapovu huku MMU?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…