Taarifa Muhimu - Tafadhali Soma Hapa

Well said na asante kwa kutambua hilo japo mlichelewa
 
Innovator, hebu angalia na hili......................

Issue sio kwenye posts tu, bali kuna wengine katika kuchangia hoja mbalimbali hapa......
wanageuza tena na kuwa chat room hapa.................

Sasa badala ya kubadilishana mawazo na uzoefu mbalimbali wa mada inayotolewa............
uwanja unakuwa wa kuchat mpaka inaboa....................
 

Mmh! Kweli aisee.
 
inategemea na uwezo wako wa kuelewa na comment zako zikoje
navojua hili ni jukwaa huru we have equal rights here? Kila mtu hapa ana uwezo wa kuelewa hamna mbumbumbu hapa
 
Asanite sana kwa taarifa na bora mfanye hivyo
Ila naona mlichelewa sana
 
<b>navojua hili ni jukwaa huru we have equal rights here? Kila mtu hapa ana uwezo wa kuelewa hamna mbumbumbu hapa</b>
unajuaje kama kila mtu ana uwezo wa kuelewa?
Kama uwezo unao mbona umeshindwa kuelewa threads za pdidy mpaka unazilalamikia?
Au uwezo mushkeli!
 
navojua hili ni jukwaa huru we have equal rights here? Kila mtu hapa ana uwezo wa kuelewa hamna mbumbumbu hapa


bebii elewa kuna mbumbu wengi sana hapa,sijui kwa wewe unapimaje,,lakini kuna member mmoja alituambia unaweza kumsoma mtu between lines,
 
mkuu nahitaji kujua, sina nia mbaya!
Sitaki kuwa kenge kwenye msafara wa mamba bana!

sawa sawa,..here we go now_MMU stands 4 .....Mahusiano,Mapenzi na Urafiki.
 
unajuaje kama kila mtu ana uwezo wa kuelewa?
Kama uwezo unao mbona umeshindwa kuelewa threads za pdidy mpaka unazilalamikia?
Au uwezo mushkeli!
sijasema ni mbaya wingi wake kwa siku zaidi ya 13 jamani? Mnaona ni sawa? Kwani kuna ulazima gani hadi azilete kwa siku moja jamaniiii?
 
Tunashukuru sana mkuu tunafanyia kazi maoni yote
 
choo cha kike!! nambie bana what does it mean? maana JF kwa abreviation ni noma..

mmu!....................usijali mkuu soma hapo juu utajua ni nini maanake kiongozi wangu
 
Mnataka ku-moderate topic zisizo na maana? Mi nilidhani topic isyo na maana inajifia yenyewwe baada ya muda mfupi tu! Kwa nini mpoteze muda kui-moderate?
 
Reactions: EMT
Tatizo mnachelewa sana kumoderate na ku publish hizo threads. Kama jukwaa la siasa unatuma thread inachukua almost an hour kabla ya kuwa published. Hata kama habari ilikuwa ya moto, moto unakuwa umeshazima wakati mnaipublish. Hii move ya kumoderate threads kabla ya kuwa published inaweza ika backfire. Watu watakata tamaa ya kuanzisha threads.

Kwa nini mmeshindwa ku moderate threads kila zinapoanzishwa? Watu wamelalamika sana ile thread ya ajali ya meli Zanzibar ilichelewa kuwa published. Labda muwe manapublish a thread within 5 minutes from the time it was submitted. Kumbuka watu wengine wanaandika thread on the move or thread ya breaking news.

Then anata kutoa updates za habari husika anakuta bado thread haijawa published.
 
mwita anasema leo ni SPECIAL DAY OF HIM!!
mi sikujua kuwa nae kazaliwa, nilijua kaokotwa kwenye oxidation ponds!
Back to mou!

Memorandum of Understanding,....ahahahahhaaaaaaaaaaaaa!..usirushe mawe wewe mm ninaishi nyumba ya vioo huku masaki
 
Mnataka ku-moderate topic zisizo na maana? Mi nilidhani topic isyo na maana inajifia yenyewwe baada ya muda mfupi tu! Kwa nini mpoteze muda kui-moderate?
There you go!
Mimi mwenyewe sijaelewa ndo maana ikabidi nichat kwanza!
 
Asante kwa ushauri wako mkuu tutaufanyia kazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…