Hujaelewa suala siyo uwingi wa Thread, hapa ishu ni je zina maji ndani yake kiasi cha kuziruhusu zikae MMU?kweli super kama leo pdidy katoa post zaidi ya 13 hadi inaboa maana watu wanashindwa kuchangia
Kutokana na hali ambayo imekuwa ikiendelea humu kwenye Jukwaa la MMU kwa muda mrefu napenda kuwafahamisha members wote kuwa kuanzia sasa thread zote ambazo zitakuwa posted hapa MMU zitakuwa under MODERATION kabla hazijawa approved tumeamua kufanya hivi kwa sababu kumekuwa na mlolongo wa TOPIC zisizokuwa na maana yoyote au TOPIC ambazo kimsingi hazina mantiki yoyote ndani ya Jukwaa hili.
Halikuwa lengo letu kufanya hivi ila kwasababu hali hii imeendelea kwa muda mrefu bila watu kujirekebisha hivyo basi tumeona itakuwa ni busara tukaliweka Jukwaa hili under MODERATION kama tulivyofanya kwenye Jukwaa la Siasa, topic ambazo tunaona zinafaa kukaa hapa zitawekwa hapa na ambazo tutaona hapa sio mahala pake zitahamishwa na kupelekwa Jukwaa husika. Lengo hasa ni kufanya maboresho kwenye Jukwaa hili na kuiweka JF katika hatua nyingine tofauti na sasa hivyo tunaomba sana ushirikiano wenu.
Poleni kwa usumbufu, na wale ambao watakwazika tunawataka radhi.
Uamuzi mzuri ingawa thread yako na yenyewe haikutakiwa kuwa hapa.
Kweli kabisa bebii kila ukifungua pdidy mpaka unachoka na zote zinaongelea mada ile ile mahusiano na mapenzi.kweli super kama leo pdidy katoa post zaidi ya 13 hadi inaboa maana watu wanashindwa kuchangia
Samahani, mi mgeni, mmu ndo nini!

Kutokana na hali ambayo imekuwa ikiendelea humu kwenye Jukwaa la MMU kwa muda mrefu napenda kuwafahamisha members wote kuwa kuanzia sasa thread zote ambazo zitakuwa posted hapa MMU zitakuwa under MODERATION kabla hazijawa approved tumeamua kufanya hivi kwa sababu kumekuwa na mlolongo wa TOPIC zisizokuwa na maana yoyote au TOPIC ambazo kimsingi hazina mantiki yoyote ndani ya Jukwaa hili.

Halikuwa lengo letu kufanya hivi ila kwasababu hali hii imeendelea kwa muda mrefu bila watu kujirekebisha hivyo basi tumeona itakuwa ni busara tukaliweka Jukwaa hili under MODERATION kama tulivyofanya kwenye Jukwaa la Siasa, topic ambazo tunaona zinafaa kukaa hapa zitawekwa hapa na ambazo tutaona hapa sio mahala pake zitahamishwa na kupelekwa Jukwaa husika. Lengo hasa ni kufanya maboresho kwenye Jukwaa hili na kuiweka JF katika hatua nyingine tofauti na sasa hivyo tunaomba sana ushirikiano wenu.

Poleni kwa usumbufu, na wale ambao watakwazika tunawataka radhi.

kweli super kama leo pdidy katoa post zaidi ya 13 hadi inaboa maana watu wanashindwa kuchangia
hata kama zina nini huwezi post post nyingi hivo kwa siku watu watachangia vp banaa ?maana post zikiwa nyingi watu wanashindwa kuchangia mwishowe jf litakuwa jukwaa la kupost tu sasahujaelewa suala siyo uwingi wa thread, hapa ishu ni je zina maji ndani yake kiasi cha kuziruhusu zikae mmu?
mkuu nahitaji kujua, sina nia mbaya!wewe mgeni nani kakuruhusu kuuliza maswali hapa
kuna mtu aheshimiki hapa? Fafanualakini pdidy anaheshimika sana hapa jukwaani