Napenda kuwajulisha kuwa niko kwenye taratibu za mwanzo za kuhamia nchini kenya tuombeane
Wacha weeamina ukiweza ungana nami tukatumike vema kule saivi mitala ruksaa hakuna michepuko tena
usijali kabisa jasiri haachi asili
hapana Mamndenyi siku hizi si kuna uraia pacha? hata muheshiwa anao
Tuhame wote basi
Mh!!,angalia lakini,tusijekupoteza nguvu kazi ya kijiji!
Napenda kuwajulisha kuwa niko kwenye taratibu za mwanzo za kuhamia nchini kenya tuombeane
Na kuna al shabab. Wao huwaogopi?hahahaaaa niombee