inspector laddy
JF-Expert Member
- Jan 5, 2014
- 761
- 258
si ndio hapo,bora abaki hapa hapa tu!!Na ukute anakwenda mombasa,
ndo kapotea mazima.
si ndio hapo,bora abaki hapa hapa tu!!Na ukute anakwenda mombasa,
ndo kapotea mazima.
haina noma anza tu michakato tukazifaudu za kikuyu na kijaluo
duh! Umenikumbusha husband.
A.k.a fitandu mama
kwetu hayo tunaita makweme.mboga yake tam sana au uyapikie ndiziA.k.a fitandu mama
unahama pamoja na jf au?
Jus a joke my heartbeat Angel Nylon! i will never ever leave you alone n lonely
Napenda kuwajulisha kuwa niko kwenye taratibu za mwanzo za kuhamia nchini kenya tuombeane
Muuuungu wangu Mamndenyi na Inspector Laddy! sijawasoma kabisa, yani mnamaanisha mombasa kabisa hiyo ninayoifahamu mimi!!!
angalia usije uliwa na alshababu huko mana nasikia wamejazana pale kisii, kisumu, kericho labda nenda maeneo ya ukambani kule hawako sana na jitahidi uwaelewe lugha yao wanayotumia wasijekukualest tukakakumiss bure bestito wetru hapa mjengoni ila utakuwa unapatikana jf?
mambo nilosikia huko mombasa sina hamu,nimeahirisha