Taarifa kwa wana Chit Chat..

Shemeji nae kasikia vya kuambiwa tu, hana uhakika.. Mwenye ushahidi kua nimefunga ndoa na mwanamke yoyote humu aulete.. Wale wote walikua kwenye mchakato, may be Ciello ambae Baba V alivunja ndoa yetu
mmh!..yaan ata shem wako hakuamini ati..
 
Last edited by a moderator:
mbna hakuna anekuamini umu mpendwa?
Shemeji nae kasikia vya kuambiwa tu, hana uhakika.. Mwenye ushahidi kua nimefunga ndoa na mwanamke yoyote humu aulete.. Wale wote walikua kwenye mchakato, may be Ciello ambae Baba V alivunja ndoa yetu
 
Ingetakiwa mkubaliane chumbani kwanza halafu ndo mje hapa sebuleni kutangazana.. Naona kama hamjakubaliana vile.
 
Heshima yako mkubwa!
mimisa tumemalizana nae kila kitu ila tatizo hawa watu wananisingizia
Ingetakiwa mkubaliane chumbani kwanza halafu ndo mje hapa sebuleni kutangazana.. Naona kama hamjakubaliana vile.
 
Last edited by a moderator:
Hao nia yao nisiwe na wewe! Sasa kama unawasikiliza haya bana mie sina tatizo maana sina cha kufanya tena, waulize hao unao ambiwa nilikua na mausiano nao uwasikie wanachosema
mbna hakuna anekuamini umu mpendwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…