Taarifa kwa Umma kutoka Wizara ya Elimu

Taarifa kwa Umma kutoka Wizara ya Elimu

Wizara ya Elimu

Govt Institution
Joined
Jun 27, 2026
Posts
2
Reaction score
5
Barua iliyosambazwa kuhusu kufungua Shule si sahihi ipuuzwe. Tunaomba Wadau wazingatie Kalenda ya Mihula ya Masomo kulingana na Waraka wa Elimu Namba 06 wa Mwaka 2025 ambao umeambatishwa.
IMG-20260701-WA0006.jpg
IMG-20260701-WA0001.jpg
 
Attachments

  • IMG-20260701-WA0001.jpg
    IMG-20260701-WA0001.jpg
    128.5 KB · Views: 10
  • IMG-20260701-WA0006.jpg
    IMG-20260701-WA0006.jpg
    132.2 KB · Views: 8
20260701_150045.jpg

Mashaka yangu yapo kwenye aina ya uandishi wa barua, sababu zinazotolewa na aliyesaini barua yenyewe

SABABU ZA TAREHE YA KUFUNGULIWA SHULE KUSOGEZWA MBELE: Eti ni uchovu wa walimu na wanafunzi baada ya likizo ndefu😭🤔

ALIYESAINI BARUA HII: Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia mwenye jina la Dkt Lyabwene M Mtahabwa. Waziri wa wizara hii ni Prof Adolf Mkenda. Unless huyu ame amesaini kwa niaba. Lakini kwanini asahau kuandika hivyo kuwa amesaini kwa niaba??

Source: Page ya X-TWITTER ya Tanzania Leaks
 
View attachment 3619762

Total nonsense! Tangu lini Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia akaandika barua kwa kutumia letterhead ya TAMISEMI?
 
Barua iliyosambazwa kuhusu kufungua Shule si sahihi ipuuzwe. Tunaomba Wadau wazingatie Kalenda ya Mihula ya Masomo kulingana na Waraka wa Elimu Namba 06 wa Mwaka 2025 ambao umeambatishwa.
Hali ya hatari nchini imeshatangazwa kupitia Bungeni na Waziri wa Mambo ya Mapolisi halafu nyie mnataka mikusanyiko ya watoto wetu mashuleni, vyuoni na kwingineko iendelee tu bila kuogopa hatari hiyo..?????

Msione aibu wala haya kutoa huo waraka ambao mlishaundaa. Tunajua mlishaandaa ili kuhalalisha TANGAZO haramu linalovunja lililotolewa na Waziri wa Mapolisi..!
 
Watoto waende tar 6, wanapumzika na kurudi tena tar 8, kwanini wasingefungua tar 8?
 
Back
Top Bottom