Taarifa kwa umma: Atumia jina la Lukuvi kutapeli...

Mkuu lengo la group ni kufahamiana kiuhalisia, kuelimishana kuhusu mambo mbali mbali yahusuyo Maisha. Hizo ndio common interest tulizokuwa Nazo na doctor Huyo fake Kabla ya kumbaini ufake wake. Mtajwa alijitambulisha kazi yake Kuwa ni Daktari, lakini amefanya matendo ya utapeli. Kama ambavyo taarifa Ina jieleza

Pole ndugu zangu, kina Yahaya wako wengi hapa mjini. Sasa mmemuanika uso wake atauweka wapi?

Tiba
 
Wanatapeliwa haohao wanaolewa na majina ya watu! Eti Lukuvi.... wa kazi gani na kwa mpango upi. Ujinga tu.

Ngoja na mimi nijiunge na ilo group lenu then nijiite Mwakibete Mrisho Kikwete, si mnalewa majina.

Mkuu jina sio kigezo cha kujiunga na Kundi, wala jina halimaanishi Kuwa Mtu Fulani ni fake au halisi.
Hivyo siamini pia hao tuliotapeliwa tulitapeliwa kwa vigezo vya hayo majina "Lukuvi" alisaidiwa Kama Mtanzania mwenzetu wa kawaida aliyefikwa na misiba ya bibi zake hao.
 
Pole ndugu zangu, kina Yahaya wako wengi hapa mjini. Sasa mmemuanika uso wake atauweka wapi?

Tiba

Mahali pa kuuweka USO wake sio jukumu letu kujua, Lengo la kumuanika ni ili kuwapa Tahadhari na wenzetu mlioko humu ambapo na yeye ni mwanachama, kwani kwa style ile ile anaweza pia kuitumia kwa miongoni mwetu humu.
 
Mkuu hii ni Tahadhari inatolewa mtajwa Huyo ni Mtanzania anafanya utapeli, Leo kafanya huko Kesho anaweza akafanya au akajaribu kukufanyia utapeli hata wewe.

Kikubwa tuzingatie Tahadhari hiyo na tuichukue Kama kinga ili Kesho ukikutana nae mtaani umfahamu kwa kazi yake hiyo ya utapeli.

Huwezi kumpa mtu tahadhari ya kutapeliwa kuna watu wapo prone kutapeliwa
 
Hivi watu wazima ni kuanzia miaka mingapi?
By the way umewezaje kujua umri ea hao walio katika Hilo group? Hadi ukaja na hitimisho Kuwa "watu wazima magrupu ya nini?"

Tapeli anaweza ibukia hata kanisani/Msikitini sio lazima iwe huko kwenye magrupu.

JIHADHARI NA TAPELI HUYO HAPO PICHANI.

Uwa sijihadhari na matapeli na hakuna njia ya kujihadhari na tapeli kwa kumkabili the actual tapeli rather uwa najihadhari na nafsi yangu zaidi as for umri wa hao wanagrupu kila mtu anazaliwa mzima ati mbali hayo kwa kusoma tu hii thread utatambua kuwa hawa ni watu wazima
 
Wakati mwingine huwa wanasaidia kufuta vumbi kwa nguo zao...
Nilikuwa pale Soccer City Pub napata maji ya Ilala, wakati naondoka kuna jamaa mmoja alinidai fidia eti gari langu limechafua nguo yake. Nikamuuliza kivipi akasema aliligusa kwa bahati mbaya, na ukweli lilikuwa chafu maana ndiyo nilikuwa nimetoka safari na nilifika pale kwa ajili ya kupata chakula pamoja na kuliosha
Ha haaa Mkuu ulimlipa ?
 
Lukuvi mwanae wa kwanza kijana wa kiume yuko 20-23 age, anasoma chuo.
Wa pili wa kiume kamaliza secondary/ kaanza chuo na wa tatu wakike anamalizia primary school.

Labda alicheza rough zamani kumpata uyu kijana mtu mzima.
 
Uwa sijihadhari na matapeli na hakuna njia ya kujihadhari na tapeli kwa kumkabili the actual tapeli rather uwa najihadhari na nafsi yangu zaidi as for umri wa hao wanagrupu kila mtu anazaliwa mzima ati mbali hayo kwa kusoma tu hii thread utatambua kuwa hawa ni watu wazima

Kwa hiyo watu wazima hawapaswi kujiunga/ Kuwa katika hayo magrupu?
 
Mkuu jina sio kigezo cha kujiunga na Kundi, wala jina halimaanishi Kuwa Mtu Fulani ni fake au halisi.
Hivyo siamini pia hao tuliotapeliwa tulitapeliwa kwa vigezo vya hayo majina "Lukuvi" alisaidiwa Kama Mtanzania mwenzetu wa kawaida aliyefikwa na misiba ya bibi zake hao.

Soma heading ya hii thread then utaelewa nini nasema.
 
Kwa nini aseme ni mtoto wa Mh. Lukuvi,
Kwa nini asiseme ni mtoto wa Mwakyembe au Magufuri,
sometime tusikimbiloe kilaumu, inashindikana vip kuwa mtoto wa Lukuvi?
 
Je mtuhumiwa anafanana na mh. Lukuvi ?
je mtuhumiwa ni mnyalu.
je mtuhumiwa anageuza geuza maneno kiasi kwamba birika anaweza akaiita sahani.
je mtuhumiwa ni mtu wa totozzz ?
 
Je mtuhumiwa anafanana na mh. Lukuvi ?
je mtuhumiwa ni mnyalu.
je mtuhumiwa anageuza geuza maneno kiasi kwamba birika anaweza akaiita sahani.
je mtuhumiwa ni mtu wa totozzz ?
Mtuhumiwa hafanani na Lukuvi (inawezekana isiwe ishu sana)
Mtuhumiwa hajulikani kabila yake maana hata kinyalu chenyewe cha kubabia
Kuhusu kugeuza geuza maneno ni kweli kabisaa lakini kwa lengo la KUDANGANYA siyo kudata.
Kuhusu Totos yeah jamaa ni fisadi kiwembe. He is proud!

Kugundulika kwake ilikuwa ni kazi ya Team Work na kufuatilia mpaka minor details ili kupata ukweli wa mambo. Amekuwa hata akiwasiliana na baadhi ya wanatimu akiwa na wengine huku akizuga anawasiliana na Lumbumba ama mtoto wa Rais. Wwafuatiliaji wake wanasema kuwa alitangaza kuwa Lukuvi (baba yake) anaandaliwa kuwa Waziri Mkuu hivyo hatogombea jimbo lake na yeye ndo ameandaliwa kumrithi....
 
Back
Top Bottom