Shine
JF-Expert Member
- Feb 5, 2011
- 11,481
- 1,372
Inabidi sasa pinda achukue madaktari wengine toka magereza,..
wengine toka FFU,....
wengine toka zimamoto,...
wengine toka mgambo,...
na kwingne alikodai atapata sijui CUBA,.....
Upuuzi kweli kujidai wewe ndio wewe na bila wewe hakuna kinacho wezekana.
Nawapongeza sana madaktari ingawa binafsi ni mhanga wa mgomo wenu lakini
potelea mbali.
Pinda show us what you've got now.
Wataalam wako wa JWTZ na JKT vipi wameweza?
Yani wote hao uliyowataja ni fm4 failer na wengine std 7 wapi na wapi hapo kwenyekutibu watu. Si unajua Tz ualimu na police wanakimbilia waliofeli pia kama serikali ina hela ya kuimport ma Dr. kutoka CUBA si watumie hizo hela kuwalipa madai yao ili yaishe? Au anataka kuonyesha ubabe? Ngojea tutaona mwisho wake