kwa kuwa yeye na wenzake wizarani hawataki kujiondoa,hakuna namna nyingine rais awatimue.Hivi ni kweli tuna mwitaji Dr Ponda? He's a failure minister of our century! Pse rudi Ulanga
bado mnamwita jk tu? Huyo siyo wa msaada tena kwa walala hoi naSErikali ikiambiwa iko lege lege inakataa. JEI KEI yuko wapi aokoe hili jahazi? Mbona mambo yote yanawezekana? Mbona tulikuwa tunalipa Richmond kila siku milioni mia na usheeee?
Bugando iko chini ya kanisa katoliki, sijui kama nao wanagoma ili wapewe posho na serikali. Hata hivyo mwenye taarifa zaidi atujuze!
Kuna wakati inabidi tukubaliane kutokukubaliana............ MATUSI NI MWISHO WA UWEZO WA KUFIKIRI WA MTU YEYOTE YULEKuna mtu anaitwa KAKAKUONA40 humu jamvini, ni KU+*MA, MSE*.*NGE ana FI<*LWA NA WACHAWI PIA NA M*BWA.. Mchonganishi wa dini. M*.BWA mkubwa we.
ana kauli gani huyo?
Si shangai. Kama hospital za kidini zinaua watu kwa manufaa ya kisiasa. Lakini hata rwanda yalitokea mauji kama haya
Ndugu zangu waislamu, hapa ndo pakuchukulia point,.............. TOENI MADAKTARI TOKA KWENYE HOSPITALI ZINAZOMILIKIWA NA MISISKITI MKAWATIBU WATU BUGANDO NA KWINGINEKO WALIKOGOMA
Waarabu nao walionekana kama wamerogwa ila siku walipo zinduka....mnajua kilichotokea na kinachoendelea kutokea...Ipo siku, na si nyingi kwa upepo huuHaya ni maajabu ya dunia,yaani mpaka leo serikali ya CCM bado iko madarakani,kweli aliyewaroga wabongo hayupo kwenye sayari hii.
Inabidi sasa pinda achukue madaktari wengine toka magereza,..
wengine toka FFU,....
wengine toka zimamoto,...
wengine toka mgambo,...
na kwingne alikodai atapata sijui CUBA,.....
Upuuzi kweli kujidai wewe ndio wewe na bila wewe hakuna kinacho wezekana.
Nawapongeza sana madaktari ingawa binafsi ni mhanga wa mgomo wenu lakini
potelea mbali.
Pinda show us what you've got now.
Wataalam wako wa JWTZ na JKT vipi wameweza?
Bugando na KCMC ni hospitali za kanisa naomba maelezo wanaingiaje kwenye mgomo huu sambamba na Muhimbili na hospiali zingine za umma? Napata shida kupata tafsiri yake.
Kwani ni lazima huyu nyoni awepo wizarani!!?? kwa faida ya nani??
Damn afu nina tumbo la kuhara, hivi Wabunge hawawezi kutibu??
Kama hawawez wabadilishane posho na madokta
Kivipi mmiliki ni mwingine na mwajiri mwingine? Fafanua. Naomba radhi kama nakukwaza lakini nataka kuelewa tu