TAARIFA KWA SERIKALI: Bugando HospitaL total tools down kuanzia sasa..

TAARIFA KWA SERIKALI: Bugando HospitaL total tools down kuanzia sasa..

jaribuni kujitokeza na kuleta vurugu mkione cha mtema kuni wanga nyie.mnakula mishahara bila kuifanyia kazi.upupu kabisa nyie
 
wewe ni kile kiungo cha nyuma kinachotumika kutoa uchafu mwilini.af unafikiri kwa kutumia vile viungo vinavotumika kukalia.

Asshole, u sonofbtch Likikwete halina roho ya ubinadamu hata nukta, linakaa tu kuchekacheka kaa taahra watu wanakufa bado tu limeunyuti, Kikwete is a tragedy that Tanzania will find it diffcuilt to 4get
 
Naanza kupata hisia kuwa hali hii ina malengo maalum!
 
Asshole, u sonofbtch Likikwete halina roho ya ubinadamu hata nukta, linakaa tu kuchekacheka kaa taahra watu wanakufa bado tu limeunyuti, Kikwete is a tragedy that Tanzania will find it diffcuilt to 4get

Calm down,utapata ban buree!!Ukishindana na ....wewe ndio utaononekana hivyo!!!
 
Duh! Hayo malipo ya 100,000/= kwa siku ni extra durty allowance au? Mbona madaktari wakidai angalau nusu per diem

serikalini hayo malipo yanaitwa honoraria, malipo ya kazi maalum. Usishange ni kawaida ktk government
 
Hivi mpaka dakika hii Serikali bado ipo madarakani tu?
Amaa kweli Tanzania ni nchi ya amani, ndiyo pekee tuliyobaki nayo ya kujivunia.
MUNGU IBARIKI TANZANIA

Dah, me sitaki kuamini kama ni nchi ya amani mkuu.. AMANI IKO WAPI WAKATI WATU WANAKUFA?

ETI BADO SERIKALI IKO MADARAKANI, HIVI TUKO SERIOUS..
 
Mimi naona wana JF tuingie mtaani wenyewe labda wa tz watazinduka,maana kama ni nondo za uhamasishaji tukiwa kwenye keyboards tumezishusha mno lakini watz hawaelewi ndo kabisaaaa wengine wanaishia kusombwa na mafuso kwenda kula ubwabwa na wanaishia kutelekezwa.
Tatizo mtapanga kuingia mtaani, halafu kina FF watawataambia wengine (wenzao) wasishiriki kwasababu ni mbinu za makafiri kumtoa JK madarakani.
Ndo ukweli huo, mafisadi washafanikiwa kwenye divide and rule, mtakoma.
 
Nafikiria serekali iakte mirija yote inayoelekea makanisani. Kwani isipofanya hivyo taifa litaangamia. Kama bugando hopsital ya kanisa inagoma kwa kuwa rais aliepo madarakani ni muislam. Nchi imeisha

yani wewe nae ndo walewale wanaofikiria mambo ya udini ambayo yatatupeleka pabay ina maana bugando wanatibu waislamu tu mpk wagome ili wafe? au muhimbili napo wamelazwa waislamu tu? au unataka kunambia madokta wote wa bugando ni wakristo tu hamna waislamu? ambao wataacha kugoma ili kumpa sapoti jk? kama hauna fikira za maan acha kuongea ujinga katk sehem kama hii kalale na ujijambie.
 
thanks mkuu, umezipanga zikapangika.
maisha ya kila siku bila JF ni kazi bure.

kweli watu kama wewe ndo wanatakiwa kwenda kupambanua matatizo ya nchi hii mana unajua wapi tumejaribu na kukwamia, nimependa sana ulivyopanga.
 
Halafu wanalala Palm beach, hizo hela si wangepewa madaktari wanaodai?
Kumbe....... I had seen a number of TPDF uniforms around palm beach hotel nikafikiri wako kwenye mkutano kumbe wanalamba ambacho kingetumika kuzuia mgomo shame.
 
Bugando na KCMC ni hospitali za kanisa naomba maelezo wanaingiaje kwenye mgomo huu sambamba na Muhimbili na hospiali zingine za umma? Napata shida kupata tafsiri yake.
Mkuu,madaktari wengi pale bugando wanalipwa kwa ruzuku ya wizara ya afya.so huu wizi unawahusu
 
mkiingiza udini ni kupoteza mada hapo kwani watatibiwa dini gani? Bugando,hili linchi halina raia wakuu
 
Big Up BUGANDO Doctors! Keep on! Victory is just around the corner! Speed hii, ITAMLAZIMISHA BUBU KUZUNGUMZA!
 
Big Up Doctors! This is the real standard and speed required, to break the yoke! Be of good cheer! Your victory, is just around the corner! With this kind of relentless determination, believe my word, the mute will be forced to speak!
 
Back
Top Bottom