Nduka
JF-Expert Member
- Dec 3, 2008
- 8,552
- 2,387
Kivipi mmiliki ni mwingine na mwajiri mwingine? fafanua. Naomba radhi kama nakukwaza lakini nataka kuelewa tu
Ndio MoU anayolalamikiaga Malaria sugu hiyo. Na kuna mengi tu serikali inachangia kanisa.
Kivipi mmiliki ni mwingine na mwajiri mwingine? fafanua. Naomba radhi kama nakukwaza lakini nataka kuelewa tu
Kauli ya Mkuu wa Nchi na Serikali. Anayo kauli mkuu kweli akose kauli.
Hivi kweli Bugando si ni hospitali ya Kanisa imekuwaje na wao wanagoma tena?
pinda go away now.
Bugando iko chini ya kanisa katoliki, sijui kama nao wanagoma ili wapewe posho na serikali.... hata hivyo mwenye taarifa zaidi atujuze!
kumekuwa na taarifa za kuwepo kwa kikao cha madaktari wakazi (resident) na interns ambao bado walikuwa wanaona wagonjwa wa dharura sasa wameamua kuacha kila kitu na kuamua kutoa mtangazo.
Kkatika mbao za matangazo kuwa leo hakuna kazi huku kukiwapo na taarifa madaktari bingwa wa hospitali hii wamekuwa wakionekana katika makorido ya hospitali hiyo wakijadili mgomo na kuwepo kwa tetesi kuwa walikuwa na mpango wa kukaa kikao cha kujadili mgomo na kuweka tool down..
Naomba kuwasilisha
Mbona sielewi unachokiandika hapa!?Serikali na bunge kwa maafikiano wamefuta posho za wabunge kwa tangazo la Naibu Spika, Job Ndugai jana, ni budi sasa madaktari nao wakafuta mpango wao wa madai ya nyongeza za posho kama walivyofanya wenzao wabunge na kurudi kazini.
KCMC, Bugando, Peramiho na hospitali nyingi za makanisa zina madactari wa serikali na wale walioajiriwa na makanisa. Hivyo moja ya michango ya serikali katika kundesha hospitali hizo ni kutoa madactari na wataalam wengine wa afya!Bugando iko chini ya kanisa katoliki, sijui kama nao wanagoma ili wapewe posho na serikali.... hata hivyo mwenye taarifa zaidi atujuze!
Ni hospitali zote za kanisa ziko kwenye mpango wa MOU au za rufaa tu kama Bugando, KCMC, Bombo na Peramiho. kuelewa mambo kunaepusha shari nataka kufahamu kwa faida ya kuepuka kudanganywa.
ndugu yangu. Hii ni ajenda ya kanisa tu, hukumbuki mzee mwinyi? Mkapa si unaona tanzania ilikuwa mlo mara 1000 hapa. Maisha mazuri tu. Akija muislam si mnajuwa?
Nafikiria serekali iakte mirija yote inayoelekea makanisani. Kwani isipofanya hivyo taifa litaangamia. Kama bugando hopsital ya kanisa inagoma kwa kuwa rais aliepo madarakani ni muislam. Nchi imeisha
wale 15 wa awamu ya kwanza sijui kama wali-prescribe hata parasetamo moja.
Ni hospitali zote za kanisa ziko kwenye mpango wa MOU au za rufaa tu kama Bugando, KCMC, Bombo na Peramiho. kuelewa mambo kunaepusha shari nataka kufahamu kwa faida ya kuepuka kudanganywa.
tools down maanake wamegoma kuendelea na kazi. Kichwa cha habari "Bugando hospital total tool down kuanzia sasa" ni cha udaku lakini maelezo yanaonyesha bado wako kwenye mkutano na maazimio hayajatoka. badilisha kichwa cha habari ni cha uchochezi.