Taarifa kamili kuhusu adhabu ya Dk. Mwaka na wenzake hii hapa kuhusu tiba mbadala na dawa asili

hamna namna au sehemu ya kwenda kukata rufaa kwa haya maamuzi...

Sio kila kitu kina rufaa..!! Ingekuwa hivyo basi KIFO kila mtu angekata rufaa..!!

Hawa matapeli na wezi wamecheza sana na uhai, afya na maisha ya watanzania.. sasa Serikali yetu makini ya Mh. Rais wetu Magufuli imewaona.. na wengine watafuata..!!

Majizi sana haya..!!
 
Duh! Kimenuka teyar
Madaktari hewaaa.
Huyu NGOSHA kwa mchezo huu
Hyper-Unemployment lazima iwepo
 
Poa tu waache wamfungie hata wakitaka kuchoma moto madawa yake wachome.
Ila naomba ile NDONDO CUP anayoidhamini waiache kama ilivo, wasilete upuuuz kabisaaa
 
Nchi hii imejaa wezi na matapeli kila kona. Hao wanaojiita wataalam wa tiba mbadala ni wezi waliokubuhu na wanaishi maisha ya peponi kwa fedha za wananchi maskini na wanaoteseka na magonjwa mbalimbali. Ningekuwa mimi ndiye Serikali ningewatia ndani wakanye kwenye kopo na kutaifisha mali zao zote walizozipata kwa njia ya wizi na utapeli. Big up JPM kwa hatua ambazo serikali yako inachukua dhidi ya wezi na matapeli hawa akina Mwaka, Lupimo na wengine wengi tu.
 
Ku-extract herbal ili kiwe kidonge au syrup na kuifanyia package hiyo juice isichache ndipo penye tatizo, organic chemistry kidato cha sita nilipata zero, huyo Mwaka hata kidato cha pili kama walivyo waganga wengine hana, teknolojia ya kukamua majani ya alovera na kutoa dawa anaweza?
Ndio maana nikasema kuwa hapa tatizo ni ujinga na ni ujinga ambao kuondoka kwake kunategemea uwekezaji wa serikali. Ambao wako katika industry tayari wapewe miongozo ni jinsi gani ya kuelekea na mwisho kufikia kiwango cha Forever Living badala ya kuwafungia!
 
Mimi nimesoma kidogo na naishi maisha ambayo huwezi kuyaita duni (japo sio bora), nikiugua magonjwa yasiyoeleweka kama kuhisi malaria option yangu ya kwanza huwa ni herbs (mitishamba) na huwa zinanisaidia sana. Sana sana hospitali nakwenda kupima tu na pale daktari anapoona malaria ndio naweza kutumia vidonge huku vikenda simultaneously na mitishamba.
Sio busara kuwakatisha tamaa walioamua kuventure katika mitishamba maana hata makampuni makubwa kama Colgate yanahamia kwenye herbal na hata Glaxo wana dawa nyingi sasa za herbal.
Hujui unaongea nini sio taaluma yakoo..... hii ni serikali ya awamu ya tanooooo
 
Mwaka niliwahi kumuambia lifestyle yake umaarufu,na gari lenye plate no MWAKA itakuwa anguko lake hakunisikia
Hairuhusiwi kumzidi Prof Dr Kigwangala aiiyesota darasani miaka dahari kimaisha
Amewekeza vyema jamaa yako?
Kama hakuwekeza shauri yk. Game over!
 
Technologia ya Tiba asili Africa ni ya hovyo sana, na ni hatari kwa wagonjwa...iwepo mamlaka ya kupitia hizi dawa zinazotengenezwa kienyeji na iwepo shule ya mafunzo ya kutosha.....
Otherwise wasaka hela wengi watahamia humo..nchi ina wajinga wwngi sana hii..
 
Back
Top Bottom