Kazi ya kuchuma mchicha au??Mimi nkifika kazi yangu ni moja tu hayo mengine ya kwake
Wale wenye magheto lazima kuna haya yamekutokea:
1. Manzi akija gheto anahakikisha akitoka analiacha safi na msosi wa kula baadae anakuachia. Hata kama kuna kilichopungua akija anakuja nacho na hakuulizi. Huyu lazima ummiss sana tuu.
2. Anakuja gheto..na kuanza kukutuma kama mhindi..baby soda, chipsi, maji ya kunywa..na akiondoka anaacha kila kitu kama kilivyo, na nauli ya kuja na kurudi umpe. Zaidi anakuachia maagizo utadhani mama mzazi..baby hizi nguo zifue, ile picha itoe pale, halafu vyombo mbona hujaosha vizuri?
3. Anakuja gheto mara ya kwanza na kiwallet. Mara ya pili anakuja na pochi kubwa kubwa..hapo ataacha mafuta ya kupaka. Mara ya tatu na pochi kuubwa kama anauza vyombo..hapo ataacha tshirt, khanga na teitei. Na hapo ole wako arudi akute hizo nguo zimefichwa. Mwisho wa siku dressing table yako iliyokuwa na vaseline tu, inakuwa na vibanio vya nywele spray++ kifupi inabinafsishwa.
4. Kaaga anaenda kwa rafiki yake au sherehe kumbe anakuja kulala kwako
5.....(ongezea mengine)
NB:
Alivyokuambia kwa mara ya kwanza.."honey/darling/baby leo nakuja kwako"..wewe ulijiandaa na kipi? Mimi niliwahi kwa mangi kununua 'tatu bomba' kama nusu boksi.
Naona haya ma-experience
sijawahi kukutana nayo. Eti niache kibanio, sijui kupika, kufua nguo etc
sijawahi kufanya.
Kwa jinsi nilivyo occupied, siwezi kushinda kwako kuanzia asubuhi mpaka
jioni, hivyo maswala ya kufua, kupika, kuosha vyombo, kupiga deki No
thank U. Sana sana nikija kwako ninachotegemea ni kunywa soda then
nasepa.
Huna uwezo wa kunihudumia, kwa nini nijitwike majukumu kama nimeolewa?
Haya naona ni mambo yenu vijana.
una kichaa? au kideri?
Naona haya ma-experience sijawahi kukutana nayo. Eti niache kibanio, sijui kupika, kufua nguo etc sijawahi kufanya.
Kwa jinsi nilivyo occupied, siwezi kushinda kwako kuanzia asubuhi mpaka jioni, hivyo maswala ya kufua, kupika, kuosha vyombo, kupiga deki No thank U. Sana sana nikija kwako ninachotegemea ni kunywa soda then nasepa.
Huna uwezo wa kunihudumia, kwa nini nijitwike majukumu kama nimeolewa?
Haya naona ni mambo yenu vijana.
Embu njoo gheto kwangu!!