tata mvoni
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 534
- 81
Duh!? Eti mpango wa nje
Demu wng akija gheto hua nafurahi mno,maana outlook ya Gheto inabadilika totally. Anapanga vitu vizuri,hadi nikija nakuta pamebadilika na kupendeza kinyama.
Ila sharti lzm aniambie km anakuja maana hzo surprise mie hazinihusu,asijeukuta mpango wa kando bure.