M.E.M.A
JF-Expert Member
- Jul 27, 2013
- 1,373
- 472
Wale wenye magheto lazima kuna haya yamekutokea:
1. Manzi akija gheto anahakikisha akitoka analiacha safi na msosi wa kula baadae anakuachia. Hata kama kuna kilichopungua akija anakuja nacho na hakuulizi. Huyu lazima ummiss sana tuu.
2. Anakuja gheto..na kuanza kukutuma kama mhindi..baby soda, chipsi, maji ya kunywa..na akiondoka anaacha kila kitu kama kilivyo, na nauli ya kuja na kurudi umpe. Zaidi anakuachia maagizo utadhani mama mzazi..baby hizi nguo zifue, ile picha itoe pale, halafu vyombo mbona hujaosha vizuri?
3. Anakuja gheto mara ya kwanza na kiwallet. Mara ya pili anakuja na pochi kubwa kubwa..hapo ataacha mafuta ya kupaka. Mara ya tatu na pochi kuubwa kama anauza vyombo..hapo ataacha tshirt, khanga na teitei. Na hapo ole wako arudi akute hizo nguo zimefichwa. Mwisho wa siku dressing table yako iliyokuwa na vaseline tu, inakuwa na vibanio vya nywele spray++ kifupi inabinafsishwa.
4. Kaaga anaenda kwa rafiki yake au sherehe kumbe anakuja kulala kwako
5.....(ongezea mengine)
NB:
Alivyokuambia kwa mara ya kwanza.."honey/darling/baby leo nakuja kwako"..wewe ulijiandaa na kipi? Mimi niliwahi kwa mangi kununua 'tatu bomba' kama nusu boksi.