Taa za barabarani rasmi kuwekwa Chato

BALOGUM

Member
May 22, 2019
93
83
Naona Chato kumenoga washatuwekea taa za barabarani (street light). Hongera Rais Magufuli kwa kuendelea kuwakumbuka wananchi wako wa CHATO.

IMG_20200213_165225.jpeg
IMG_20200213_165222.jpeg
IMG_20200202_184334.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi Hilo kabila kenu msiopenda makabila mengine wapate maenseleo tukiwaita mashetani wakubwa nyie mtasema tunawaonea?

Kwani chato wanaishi ngedere kiasi kuwa haeastahili kupelekewa maenseleo Kama mlivypopelekeea nyie?

Nyie endeleeni time na chili zenu mtaviweka vizazi vyenu pabaya
 
Ndio mahana tukampongeza kwa kuendelea kuwakumbuka wananchi wake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona unamshambulia mleta mada wakati kaleta tu taharifa..
Taharifa yake ina ubaya gani kwani?
Hivi Hilo kabila kenu msiopenda makabila mengine wapate maenseleo tukiwaita mashetani wakubwa nyie mtasema tunawaonea?

Kwani chato wanaishi ngedere kiasi kuwa haeastahili kupelekewa maenseleo Kama mlivypopelekeea nyie?

Nyie endeleeni time na chili zenu mtaviweka vizazi vyenu pabaya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Utafikiri watanzania wamekatazwa kwenda kuishi au kuwekeza chato! Chato ni Tanzania na wanaoishi kule ni watanzania kama unaona kuna fursa chato hamia!
 
Hivi Hilo kabila kenu msiopenda makabila mengine wapate maenseleo tukiwaita mashetani wakubwa nyie mtasema tunawaonea?

Kwani chato wanaishi ngedere kiasi kuwa haeastahili kupelekewa maenseleo Kama mlivypopelekeea nyie?

Nyie endeleeni time na chili zenu mtaviweka vizazi vyenu pabaya
Ethics and protocol haviruhusu upendeleo,unaweka nchi nzima
 
Back
Top Bottom