Bana likasi
JF-Expert Member
- Jan 7, 2020
- 6,926
- 6,430
Mbona ndanda,kisarawe,rufiji hazipoKwani haziwekwi? Mbona kwingine zinakiwekwa hamusemi ? Anyway kabila linalopinga kila kinachofanywa maeneo ya usukumani mbona linajulikana tu hata kwa kiziwi
Mbona ndanda,kisarawe,rufiji hazipoKwani haziwekwi? Mbona kwingine zinakiwekwa hamusemi ? Anyway kabila linalopinga kila kinachofanywa maeneo ya usukumani mbona linajulikana tu hata kwa kiziwi
Kwamtogole ipo Dar.Upendeleo taa? Hadi kwetu kwa Mtogole zipo!
Hebu tulia uandike vizuri,unakuwa kama umepatwa na pepo!Hivi Hilo kabila kenu msiopenda makabila mengine wapate maenseleo tukiwaita mashetani wakubwa nyie mtasema tunawaonea?
Kwani chato wanaishi ngedere kiasi kuwa haeastahili kupelekewa maenseleo Kama mlivypopelekeea nyie?
Nyie endeleeni time na chili zenu mtaviweka vizazi vyenu pabaya
Geita kwenyewe hakuna hizo taa!Kwani haziwekwi? Mbona kwingine zinakiwekwa hamusemi ? Anyway kabila linalopinga kila kinachofanywa maeneo ya usukumani mbona linajulikana tu hata kwa kiziwi
BALOGUM, Wacha Chato ingare wao pia ni watanzania ila sasa huyo mbaba kwenye picha anampeleka wapi mtoto huko machakani huku kamvisha kofia iliyomfunika uso?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nyingi tu. Barabara za Wilayani,mijini zinazojengwa zote lazima ziwekwe taa.Kwamtogole ipo Dar.
Wilaya ngapi ambako makao makuu ya wilaya kuna taa ukiacha Chato?
Hata Kigamboni hakuna taa ila kwa Mtogole zipo mbona hawalalamiki? Kitu kikiwa Chato ni nongwa!Chunya,sikonge,karatu hazipo
Hivi Hilo kabila kenu msiopenda makabila mengine wapate maenseleo tukiwaita mashetani wakubwa nyie mtasema tunawaonea?
Kwani chato wanaishi ngedere kiasi kuwa haeastahili kupelekewa maenseleo Kama mlivypopelekeea nyie?
Nyie endeleeni time na chili zenu mtaviweka vizazi vyenu pabaya
Wabongo wana nongwa sana.
Zipo, hawa watu chochote kikifanyika Chato it's wrong. Barabara nyingi za mijini,Wilayani taa ni lazimaHivi sehemu zingine za Tanzania hakuna hizo taa?
Sasa issue sio taa tena, ni ushamba wa Wasukuma!Tatizo lenu wasukuma mna ushamba wa kuzaliwa,sijawahi ona msukuma mjanja hata asome vipi ushamba hamtoki,,
Sent using Jamii Forums mobile app
Zipo, hawa watu chochote kikifanyika Chato it's wrong. Barabara nyingi za mijini,Wilayani taa ni lazima
Sasa hivi barabara ikijengwa taa na mitaro ni lazima. Vibarabara vyote vipya uswazi vina taa.Juzi nilikuwa Iringa.
Kuna barabara za lami. Na taa za barabarani zipo.
Morogoro napo zipo.
Pwani zipo.
Hizo zote sijasikia mtu akizilalamikia.
Ila za Chato ni nongwa!
Nishawahi kusema humu kuwa ni vigumu sana ku-reason na baadhi ya watu.
Kama wanavyomponda Mkapa kuacha kuijenga kusini.Cha ajabu sasa, huko Chato kusingekuwepo hata na barabara moja ya lami, hawa hawa wanaolialia kuhusu taa za barabarani, wangemponda Magufuli kuwa hapajali kwao.
Sasa hivi barabara ikijengwa taa na mitaro ni lazima. Vibarabara vyote vipya uswazi vina taa.
mTZ hana jema wala bays😈😈Kama wanavyomponda Mkapa kuacha kuijenga kusini.
Mbona ume-panic? Mtoa made kwani kafanya lipi baya? Yani yeye kutupa update ya jiji la Chattle imekuwa nongwa?Hivi Hilo kabila kenu msiopenda makabila mengine wapate maenseleo tukiwaita mashetani wakubwa nyie mtasema tunawaonea?
Kwani chato wanaishi ngedere kiasi kuwa haeastahili kupelekewa maenseleo Kama mlivypopelekeea nyie?
Nyie endeleeni time na chili zenu mtaviweka vizazi vyenu pabaya