Taa za barabarani rasmi kuwekwa Chato

Taa za barabarani rasmi kuwekwa Chato

Punguza jazba uandike vzuri.
Hivi Hilo kabila kenu msiopenda makabila mengine wapate maenseleo tukiwaita mashetani wakubwa nyie mtasema tunawaonea?

Kwani chato wanaishi ngedere kiasi kuwa haeastahili kupelekewa maenseleo Kama mlivypopelekeea nyie?

Nyie endeleeni time na chili zenu mtaviweka vizazi vyenu pabaya
 
Gbadolite haiwezi kukaa giza
Du! wabongo kweli noma.kwa iyo unataka uniambie huu mji baadae utakuwa ivi
images%20(18).jpeg
images%20(20).jpeg
images%20(19).jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu mshamba analazimisha tu ila kiukweli chato ni kijiji chenye miundo mbinu mizuri na ya kisasa,, mji hauna watu na pia mzunguko kibiashara unazidiwa sana na mganza,

Ukifika kwa mara ya kwanza ukaona vibarabara vya mitaa, majengo ya taasisi za umma utasema hapa kuna pesa,,,,, pyeeeeeeee amka asubuhi simama kwenye mataa yake ( maana hapo ndipo town) utalia na macho yako mji mpaka saa nne bado maduka yamefungwa stendi ni kama kituo cha kuomboleza misibani,, hakuna mpishano

Hakika jiwe ni mjinga na mkuu wa washamba
 
Sizani kama umeandika ukwel sehem ambako kuna izo traffic light sio mjini na kuilinganisha chato na mganza sio sawa.
Chato mbona kuna watu wa kutosha chato ya 2018 sio chato ya 2020 chato kunogiree

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sizani kama umeandika ukwel sehem ambako kuna izo traffic light sio mjini na kuilinganisha chato na mganza sio sawa.
Chato mbona kuna watu wa kutosha chato ya 2018 sio chato ya 2020 chato kunogiree

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe endelea kusifia siko hapa kubishana wasomaji watachagua wa kumuamini kati yangu ama wewe
 
Madalali wa viwanja huko vipi mimi nahitaji kiwanja kiwe karibu na John pjm
 
Back
Top Bottom