Taa za barabarani rasmi kuwekwa Chato

Taa za barabarani rasmi kuwekwa Chato

Tatizo watanzania tulizoea kukaa gizani sasa tunawekewa taa tunaona maajabu. Wiki iliyopita nilikuwa Dar nimekuta taa ziko hadi porini barabara ya mabibo jeshini hadi maji chumvi hakuna hata nyumba lakini taa zimewekwa.
 
Hivi Hilo kabila kenu msiopenda makabila mengine wapate maenseleo tukiwaita mashetani wakubwa nyie mtasema tunawaonea?

Kwani chato wanaishi ngedere kiasi kuwa haeastahili kupelekewa maenseleo Kama mlivypopelekeea nyie?

Nyie endeleeni time na chili zenu mtaviweka vizazi vyenu pabaya
acha jazba za kike.

wapi pametajwa makabila humu?
 
Tatizo watanzania tulizoea kukaa gizani sasa tunawekewa taa tunaona maajabu. Wiki iliyopita nilikuwa Dar nimekuta taa ziko hadi porini barabara ya mabibo jeshini hadi maji chumvi hakuna hata nyumba lakini taa zimewekwa.
[emoji120][emoji120][emoji122][emoji122][emoji122]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom