Taa ya kijani (green light)

Taa ya kijani (green light)

Kijani umepewa ruhusa hata kama si ya maneno dalili zitaonyesha tu umeshapendwa au umeshakubaliwa.
nimewashiwa leo hio taa mida ya saa tisa mchana.

tatizo la muwashaji ni hilo tu hakuwa muwazi, uwazi wenyewe unaletwa na uoga tu kwa vile labda anaogopa kutaja neno ' I LOVE YOU'..

hii taa sometimes sio nzuri kwa sababu inaweza kutumiwa vibaya na playboys kwa vile tu kawashiwa na wengi, basi atataka atoke nao wote...

comparative advantage..
 
ungempa ile kitu inatofanana na maziwa ya chocolate angeongea yote asingebakisha hata neno moja
 
Kinachofurahisha ni hiki, "Palipowaka red sasa hivi, baada ya dakika mbili panawaka green!"
 
Ukipata nyekundu shukuru na wala usisononeke kwasababu inakuandaa kwenda katka maisha imara zaidi...japo wengi hatuipendi
 
Back
Top Bottom