Askari Kanzu
JF-Expert Member
- Jan 7, 2011
- 4,596
- 1,236
Hii ni taa ya kichina. Kuna tetesi eti sampuli hizi karibu zitaanza kuuzwa bongo ingawa bado kuna mgawo wa umeme!
Duhu, naona Mkuu umeshajitayarisha na nyundo uivunje hiyo taa vipande vipande!Siinunui hata kama wanatoa bure siitaki.
Amaa kweli: tambola na mokili, yomona makambo (tembea duniani utaona mambo)! (Johnny Bokelo, Conga succes, 1968)Kuna nchi wanaiabudu hiyo:...
Haswaaaaa!!!nADHANI HII TAA NI KWA AJILI YA KULEATA UPENDO PALE AMBAPO PANACHUKI
Kuna nchi wanaiabudu hiyo:
![]()
Kuna nchi wanaiabudu hiyo:
![]()