T-shirt za dr slaa

Ni MARUFUKU KUZIVAA "TANZANIA". HUU SIO MUDA WA KAMPENI! NI MUDA WA KUJENGA NCHI!. MKIBISHA MTAPAMBANA NA RUNGU LA DOLA. SI MNAJUA MMETENGENEZA BIFU NA DOLA?? MMESUSIA HATA SHEREHE ZA UHURU! EBO?? ETI NINI???
 
Nawashauri CDM wachapishe t-shirt zenye picha ya Dr Slaa na nembo ya flag ya Tz then ziuzwe na zivaliwe na wafuasi wa CDM ambao ni 64% kuonesha kuwa walimchagua.

Wazo jema sana na la kudumu. Nina hofu na speed ya exec ya chama kulipokea hili na kulifanyia kazi lisinaswe na kutumiwa na upande wa pili wa mafisadi na makuwadi wao ambao wameshalambishwa 'halua' ya madaraka zenji, kama walivyodandia hoja ya maandamano ya CDM kuhusu katiba. Yeyote anayepinga wazo hili ni 'mkono wa yule muovu' aliwawezesha uchakachuaji wa haki na ushindi. Tukumbuke waheshimiwa wetu waliogoma kushiriki kikao cha mgomo kwa 'rais' ktk bunge waweza kuwa obstacles pia. Tunaomba hili liwe ni Wazo la kutekelezwa haraka kwa makini na wanachama. Na pawepo tu na coordinator toka ktk chama kama Mnyika au stategic figure nyingine ili ku-link daily progress na focus ya Chama.

Watanzania wanajua Rais wa wananchi alipata 64% ushindi, huyo wa NEC atajijibu. Umma hatuhitaji wikileaks kuliweka ktk macho ya dunia jambo hili, ni sisi wenyewe. Uwezo tunao, nguvu tunayo na nia tunayo. Ni utekelezaji tu.

T-shirt zaweza kuwa na tags mfano kama .- "Ufisadi umeteka Taifa, viongozi ni watumwa", "Wao wana Mafisadi na pesa, Sisi tuna nguvu ya Mungu na Umma" , "Kwa nguvu ya Umma, Mapambano bila Mwisho, ni Chama Makini kwa Taifa Bora", au kauli ya Nyerere; "Ikulu ni patakatifu sio pango la Wezi na Mafisadi, Wewe utawalipa nini waliokupeleka hapo"
 
Ni MARUFUKU KUZIVAA "TANZANIA". HUU SIO MUDA WA KAMPENI! NI MUDA WA KUJENGA NCHI!. MKIBISHA MTAPAMBANA NA RUNGU LA DOLA. SI MNAJUA MMETENGENEZA BIFU NA DOLA?? MMESUSIA HATA SHEREHE ZA UHURU! EBO?? ETI NINI???

Tutazivaa hapahapa kwani Tanzania mapambano bado yanaendelea,nilazima tukubali bado hatujapata uhuru wa kweli.Kila tunapopita watu wanalia, nchi hii itajengwa lakini si na serikali ya Kikwete.Hatuna maana T-shirt za Dr Slaa ni campaign mbona watu wanavaa nyinginezo?Why Dr Slaa !!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Mapambano yataendelea hata kama ni kwa kuwasafishia njia wengine dhuluma na wizi sasa unatosha,na hatuogopi na hakuna sababu ya kuogopa Dola,watu wote hao tunawalipa kwa kodi zetu wenyewe.

I have liked the idea,zipo chache nafikiri tutaanza kuzisambaza kwa wanaohitaji.contact us.
 
thats great! It soothes to have a feeling that, despite the what ccm have done and continue to do, wazalendo wa kweli wanaendelea kuwa na ari ya kupigania nchi yao. Hawakati tamaa. Wanakuja na ideas ambazo ni mchango mkubwa katika mapambano yanayoendelea.

wazo zuri saana, naunga mkono naomba -itakuwa njia mojawapo ya kukiwezesha chadema katika opresheni zake mbalimbali na changamoto. Tunamuomba dr mkumbo afikishe wazo hili kwa kamati kuu, lakini pia mimi pia nitafikisha wazo hili kwa mh. Mnyika ili lifikishwe kwa viongozi wa chama kwa utekelezaji.
 
dah........ post yangu ya kuvaa tisheti nyeupe au ya taifa staz wameichakachua... kha!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom