T-shirt za dr slaa

T-shirt za dr slaa

watakifuatilia kiwanda au printer aliyezitengeneza na kumtafutia visa na hatimaye kumfilisi.

Wakachapishie CHINA ziwe na maandishi tofauti tofauti, mfano "Tunataka Katiba Mpya", "Tunataka NEC Huru", "Katiba Mpya Tanzania Mpya", "Tanzania HURU TUME HURU" nk nk.
 
Ushauri wangu ni kuwa Fulana hizi zisitokane na mfuko wa chama bali wapenzi wa Dr. Slaa na CDM kwa Ujumla.

Inaweza kuleta picha ambayo si nzuri sana na hawa Mafisadi wakaitumia kama silaha.

Wazo hili ni zuri sana, najiskia vizuri kuivaa Fulana ya Dr. Slaa

Peoples.........................Power.
 
Sijapata picha vizuri.Idea ya T-shirt ni nzuri na itazalisha mapato but nina wasiwasi na mauzo ya kalenda hizo.Kuna ambazo zina orodha ya wabuntge wote wa CDM na zingine zina picha ya Dkt.Slaa.Swali ni Je hizo kalenda zinatolewa na CDM?Ni mradi wa chama?Nina wasiwasi yasiwe yale ya Simba na Yanga ambapo tisheti zao zinazalishwa na wahindi na kuuzwa bila wao kufaidi chochote.Chadema wanapaswa kuliweka wazi hili na kulitolea ufafanuzi.Nilikuwa Mwz nyumba nyingi zimenunua kalenda hizo almost kila nyumba niliyotembelea nimekuta kalenda za CDM.
 
Ila wasiweke mirangirangi ya chadema. wachague rangi ya aina moja kwa t shirt moja
 
No no! What I said in ma thread is that, t-shirt should be printed with Dr Slaa's picture alongside with some words either at da back or onfront of da t-shirt. The 64% i mentioned means if u buy a t-shirt and u wear it will mean u was da one how voted 2 Dr and u contributed on his landside victory of about 64%

Vipi kwa wale ambao hawakumpigia kura Dr Slaa, does it mean hawana haki za kununua, vipi kwa wale ambao hawakuwa na haki ya kushiriki uchaguzi, naunga mkono wazo lakini napinga statement hii, ina ubaguzi wa hali ya juu..
 
Hapana negative usitegemee Mkamba atanunua t-shirt hizo, nimewasilisha thread hii ikiwa na maana kuwa wale wote wenye mapenz mema na cdm wapata fursa ya kuonesha mapenz yao hata wale waliozuiliwa ku vote
 
Jamani hili wazo lifike basi na kama kuna mawazo mtu aweke picha hapa mnaitakaje mimi nianze biashara au mnataka ziunzwe na chama tu? nipeni go ahead nitasambaza mikoa yoote tanzania.
 
GrEatThinkers,

Bado mimi nasema mradi usiwe wa Chama bali wa Kundi lakini ni kwa ajili ya kutunisha mfuko kwa ajili ya ajili ya chama chetu.

Itakuwa ni tatizo kama tutatumia mfuko wa chama, Ruzuku isifanye mambo kama haya kama walivyo wale mafisadi.

Tunajenga chama chetu, Umma ni muhimu uhusike moja kwa moja na ujiskie kuwa unahusika na mipango na mikakati ya kuendeleza CDM.

Supervisor ametoa wazo zuuuri sana,

utekelezaji wake ni lazima uwe mzuri.

Ngoja nami nitoe Thread nyingine kuunga mkono hili suala la hili.
 
Nasubir kwa hamu thread yako spencer ili tujenge chama chetu
 
No no! What I said in ma thread is that, t-shirt should be printed with Dr Slaa's picture alongside with some words either at da back or onfront of da t-shirt. The 64% i mentioned means if u buy a t-shirt and u wear it will mean u was da one how voted 2 Dr and u contributed on his landside victory of about 64%

Mimi naunga mkono na miguu yote...
Lakini tusiweke maandishi yenye kuashiria uvunjifu wa katiba japo ni mbovu ila bado tuiheshimu. Tusiweke wazi ile 64% maana watadai tunatangaza matokeo kinyume na Tume ya uchaguzi.
Mimi najua kinachotakiwa hapa ni kama Supervisor alivyosema ni ule wingi wa watu watakao nunua na kuvaa hizo T-shirt watatisha sana na itakuwa ishara tosha kwamba hatunaimani na Raisi aliyeko ikulu.
Napendekeza T-shirt hizi ziuzwe kwenye vibanda vinavyouza magazeti(Mwanachi ni wadau) na kwenye mikutano na maandamano.

Ningeshauri waanze na kule ARusha ambako ndiko kitovu chetu. Ikibidi mkutano uahirishwe mpaka T-shirt ziwe tayari ili yale maandamano yanoge.
 
Wazo sahihi kabisa itabidi tuandae na nyimbo kabisa za kuimba siku hiyo
 
Bravo!!!!!!!!!!!Mie nashauri pale chini ya picha ya Dr.Slaa iandikwe tarakimu 64 kwenye mabano kuonyesha alipata 64% .Kwa hakika tutavaa kwa mbwembwe na 64% yetu.
please viongozi wa CDM dont let us down.chukueni hii idea
 
Nawashauri CDM wachapishe t-shirt zenye picha ya Dr Slaa na nembo ya flag ya Tz then ziuzwe na zivaliwe na wafuasi wa CDM ambao ni 64% kuonesha kuwa walimchagua.

Kumbe mwataka uhuru wa kuvaa T-shirt tu, huo mtaupata. Ila kukabidhiwa dhima ya kuongoza nchi hilo halipo ng'oooo !
 
Hilo wazo (T-shirts, kofia nk) lifanyiwe kazi haraka sana. Na pia kama walivyopendekeza ziuzwe kwa bei ya kawaida (nafuu) ili ziuzwe vijijini na mijini. Mwenye kununua 1, 2, 3, 4, 5,............ anunue. Kwa njia hii mtashangaa jinsi mauzo yatakavyokuwa ya juu.
 
Back
Top Bottom