RRONDO
Platinum Member
- Jan 3, 2010
- 60,417
- 139,271
Halafu unaita wana JF Catalunya waje kukupa company?!!!Sawa mkuu japo mamwela hawawezi nidandia coz ni 'mtu wa system'
Halafu unaita wana JF Catalunya waje kukupa company?!!!Sawa mkuu japo mamwela hawawezi nidandia coz ni 'mtu wa system'
Kwanini usimshauri annunue gloves special kwa kazi hio?Mkuu ukiwa unapiga push ups vaa sox kwenye mikono. Inasaidia
Huku kwetu mamwela walikua wanatudandia ukiwa na nakoz za hivo. Saiv navaa sox. Ngozi laini mfupa chuma
Sawa mkuu japo mamwela hawawezi nidandia coz ni 'mtu wa system'
Kwanini usimshauri annunue gloves special kwa kazi hio?
System ziko nyingi mkuu hata subwufa nayo ni systemHalafu unaita wana JF Catalunya waje kukupa company?!!!
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Halafu unaita wana JF Catalunya waje kukupa company?!!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahaaaa sawa mkuu.
Hahaha, u made my day mkuuHuku mtaani kwetu tunapiga chuma za makopo ya rangi yaliyojazwa zege. Kukimbia tunatroti mtaani sio kwenye treadmill. Hayo magloves tumewaachia kina idris sultan/makonda/salaah/mwana fa wanaofanyia mazoez gym kwenye kiyoyozi
Soxi nzito tu zinatosha mkuu hahaaa
Hahaha, tuyaache hayo mkuukikosi gani mkuu