vivian
JF-Expert Member
- Nov 2, 2009
- 1,749
- 1,000
Wana Jamvi,
Hivi ni wangapi wameshawahi kukutana na huu msemo wakati wa kufanya mchakato wa kutoa gari au mali yoyte Bandarini?
I have been Importing cars From Japan for the second year now. kwa hesabu za haraka haraka nimeshapitisha gari zaidi ya 15.
Katika zote hizi, hakuna niliyoitoa kwa muda muafaka bila kuambiwa system inasumbua!!!!
What the hell are you up to you TRA fellows.
Gari moja Dogo, nalipa ushuru zaidi ya milioni sita, Ni kiasi gani jamani mnakusanya hapo kwa siku?
Why dont you try to be effective atleast once!!
Hivi jamani mamlaka ya kukusanya kodi ya Nchi inaposhindwa kuwa makini kwa mambo kama haya mnategemea nini?
Hivi rais wetu analijua hili?
Kusumbua kwa system tunajua ni mambo ya network na huwa yanatokeaga sehemu nyingi. Ila kwenu TRA hapo bandarini imezidi.
Kama hatuko serious hapa tutakua serious kwenye nini tena?
I wish hizo nguvu za Igunga tungekua tumetumia kama hizo kuleta ufanisi pale TRA bandarini.
What a hell of a country.