System inasumbua- TRA

vivian

JF-Expert Member
Nov 2, 2009
1,749
1,000
Wana Jamvi,

Hivi ni wangapi wameshawahi kukutana na huu msemo wakati wa kufanya mchakato wa kutoa gari au mali yoyte Bandarini?

I have been Importing cars From Japan for the second year now. kwa hesabu za haraka haraka nimeshapitisha gari zaidi ya 15.

Katika zote hizi, hakuna niliyoitoa kwa muda muafaka bila kuambiwa system inasumbua!!!!

What the hell are you up to you TRA fellows.

Gari moja Dogo, nalipa ushuru zaidi ya milioni sita, Ni kiasi gani jamani mnakusanya hapo kwa siku?

Why dont you try to be effective atleast once!!

Hivi jamani mamlaka ya kukusanya kodi ya Nchi inaposhindwa kuwa makini kwa mambo kama haya mnategemea nini?

Hivi rais wetu analijua hili?

Kusumbua kwa system tunajua ni mambo ya network na huwa yanatokeaga sehemu nyingi. Ila kwenu TRA hapo bandarini imezidi.

Kama hatuko serious hapa tutakua serious kwenye nini tena?

I wish hizo nguvu za Igunga tungekua tumetumia kama hizo kuleta ufanisi pale TRA bandarini.

What a hell of a country.
 
do you use a clearing agent or? wakati mwingine hii ni janja ya agents
 
huwezi bana kulipa ushuru wa saloon car 6m nakukatalia ...unless hujui kuhesabu hela bana.....
 
huwezi bana kulipa ushuru wa saloon car 6m nakukatalia ...unless hujui kuhesabu hela bana.....

Hivi ni wapi nimesema saloon Car? May be sijakuelewa vizuri.

ha ha ha ha ha haaa. Nimecheka sana jamani.

Naona umesha generalise wanawake wote ni Vitz tu.
 
Sio janja ya agent bali ni kweli hawa jamaa wa TRA wako ineffective!
Alafu kumbuka hawa wanaitwa watumishi wa umma lakini hawa wote ni matajiri wa kutupa ambao neno mtumishi ni sawa na tusi na ndio maana hiyo around 6m unayolipa kwa kila gari wao wanaona wewe ni mtu mdogo tu.
Japo sio wote lakini TRA inahitaji 'ufagio' ili uondoe matajiri wakasaidie ujasiriamali mtaani badala ya 'kuwadhalilisha kuwaita watumishi'
do you use a clearing agent or? wakati mwingine hii ni janja ya agents
 
Hiyo kitu nilishakutana nayo mara moja wakati naingiza gari nafikiri inaweza kuwa ni uongo agent, kwani ni agent mzoefu na nimekuwa namtumia mara kwa mara lakini kipindi hicho alikuwa na kazi nyingi alivyokuwa akisema system iko down nafikiri alikuwa ananidanya ili afanye kazi zingine zilizokuwa mkononi
 
wdtOrOogaIv6AAAAABJRU5ErkJggg==


sometimes Agent messes up and put on TRA, try this Agent, he never let me down. 0762685099, DGA Ltd.
 

Attachments

  • Dar-Global-bz.jpg
    Dar-Global-bz.jpg
    104.9 KB · Views: 24
  • Dar-Global-bz.jpg
    Dar-Global-bz.jpg
    105.5 KB · Views: 23
Back
Top Bottom