Syria inafuatia baada ya Libya

Syria inafuatia baada ya Libya

Assad sijui kama watamwacha, mama Clinton akishasema mara nyingi huwa ni hatari, she said the same thing about Gaddafi.Sasa kasema Assad days are numbered.Annan amerudi tena huko kwa mara ya mwisho, amekutana na Assad na muafaka wake anaouita "The Six Points", kaondoka kuelekea Iran kwa madhumuni hayo hayo.

Assad nayeye akihojiwa na wajerumani, amesema US, Saudi na Qatar wanawapa silaha makundi ya wahasi ndani ya Syria.
 
hbeig20120713224627827.jpg

Foreign-backed armed terrorists in Syria (file photo)


The Syrian Army has killed a large number of anti-government terrorists who were behind the killing and wounding of dozens of people in the west of the country, a military source says.


On Friday, an unnamed military source said that on Thursday, the army attacked the terrorists who had killed and wounded many civilians in the village of al-Turaymisah on the outskirts of the western city of Hama, Syria's official news agency SANA reported.

The source added that a large number of armed rebels were killed and scores more captured in an offensive that was concluded without any civilian casualties.

After conducting a massive search operation, security forces found the dead bodies of a number of citizens, who had been kidnapped and killed by the armed terrorists.

A large cache of weapons and explosive materials as well as documents, including foreign ID cards, were also seized.

Anti-government sources also confirmed that some of those killed by government forces in al-Turaymisah were members of armed gangs.
On Friday, the head of the UN observer mission in Syria, Major General Robert Mood, confirmed heavy fighting in the village.
Also on Friday, a booby-trapped car exploded in the Mezzeh neighborhood of Damascus. There were no reports of casualties.
Meanwhile, the foreign-backed armed gangs have announced that they are adopting a strategy of carrying out assassinations to achieve their objectives. On Friday, a colonel of the self-proclaimed Free Syrian Army set a deadline of July 31 for government figures to defect or face assassination.

An officer of the anti-government force said that the group is receiving weapons that are being transported through Lebanon, Turkey, and Iraq and demanded that more sophisticated weapons be delivered to them to inflict more damage on the country. He added that the group has paid thousands of dollars to arms dealers in Iraq and Lebanon to purchase Katyusha rockets and anti-tank missiles.

Damascus has repeatedly said that the rebels are supported by Turkey, Saudi Arabia, and Qatar.

Syria has been experiencing unrest ever since March 2011, with demonstrations being held both against and in support of President Bashar al-Assad's government.

The Syrian government says outlaws, saboteurs, and armed terrorists are the driving factor behind the unrest and deadly violence while the opposition accuses the security forces of being behind the killings.

Damascus also says that the chaos is being orchestrated from outside the country and the security forces have been given clear instructions not to harm civilians.
 
KABAVAKO hongera kwa kuwa Mpiga debe mzuri kwa vitu ambavyo havina MSHIKO wewe na Kamanda KOVA mnastahili kuudanganya umma lakini kama Kamanda Kova utaumbuka siku unayoyaamini yataonekana kama ndoto za mchana KEEP-IT-UP.
Kwanza habari yako sorce ni wewe mwenyewe???????? ulikuwepo kwenye tukio ukaona ni magaidi waliouawa???????? au kwa sababu nawe ni PRO-..................???????????
 
I am apalled by the Wests hypocrisy and what is going on in Syria.I keep asking my self what is the Wests ultimate and geopolitical goal in Syria.

It is obvious that the Domino theary is in action, and it is hard to believe that what is happening in the Arab world is not by design.

Back to Syria, has anyone asked himself where the rebels get their arms?
From the military outfits in the West of course!

Have you also noted the constant pounding into your ears by the West news houses BBC, CNN etc?

None and I say none have ever touched in this field as to where the rebels in Syria get their arms,intelligence and funding.
BBC,CNN etc are 24/7 explaining on the "heavy weapons'used by the Syrian army on civilians(mind you, not rebels).
This hypocrisy make me at pains to listen to these news outlets.
They are not only biased, but also programmed to help the destabilisation of Syria a success.

It is a pity that all those dead Arabs, died thinking that the enemy is of their own brethren.
 
Hali mpaka sasa ni kuwa Wale wapinzani wa serikali ya Kiongozi wa Syira Bashar Asad wameingia mji mkuu wa Damascus, Na kuna Vita vikali sana hapo mjini Damascus Ninatabiri haitochukuwa muda mrefu kuanzia sasa Kiongozi wa Syria atapinduliwa Madarakani mnasemaje wakuu wenzangu? nawaombeni maoni yenu......
 
Assad na upinzani zalaumiana kuhusu vifo

120713015524_homs_syria_304x171_s_nocredit.jpg


Mashambulizi katika makaazi ya watu Syria



Pande zote mbili hasimu nchini syria zinalaumiana kuhusiana na mauawaji mabaya zaidi kuwahi kutekelezwa nchini humo.
Wakereketwa wa upinzani wanadai majeshi ya serikali yaliwauwa takriban watu mia mbili katika kijiji cha Tremeseh katika mkoa wa Hama.

Wanasema helkopta na vifari zilirusha makombora katika kijiji hicho kabla ya wapiganaji wanaounga mkono serikali kuingia kule na kuanza kuwafyatilia risasi wakazi.

Nacho kituo cha habari cha serikali kinalaumu upinzani.

Kituo hicho chasema wapiganaji wa upinzani ndio waliovamia kijiji hicho na kuwauwa watu na kwamba kikosi cha serikali kiliingilia kati kuzuia mauawaji hayo na makabiliono hayo yakapelekea vifo zaidi vya wanakijiji.

BBC Swahili - News In Brief - Assad na upinzani zalaumiana kuhusu vifo
 
Assad "huenda akatumia zana za kemikali"




120716173234_syria_304x171_f_nocredit.jpg
Syria


Afisaa mkuu kabisa kujiondoa katika serikali ya rais wa Syria, Bashar al Assad, ameambia BBC kuwa utawala wa Assad hautahofia kutumia zana za kemikali ikiona tisho kubwa dhidi yake kutoka kwa upinzani.
Nawaf Fares, balozi wa zamani wa Syria nchini Iraq, alisema kuwa taarifa ambazo hazijathibitishwa zinasema kuwa huenda zana hizo tayari zimetumiwa.

Aliongeza kuwa mashambulizi ya mabomu ambayo yameshuhudiwa nchini humo, yamefanywa na utawala wa Assad kwa ushirikiano na wapiganaji wa Al-Qaeda.
Wakati huohuo,mjumbe maalum wa Umoja wa mataifa na jumuiya ya nchi za kiarabu kuhusu mzozo wa Syria Kofi Annan, anatarajiwa kukutana na rais wa Urusi, Vladimir Putin kuhusiana na mzozo huo wa Syria.
Urusi ni mshirika mkubwa wa Syria na mkutano huu unakuja wakati shinikizo zikiendelea kukuthiri kwa jamii ya kimataifa kuchukua hatua kali dhidi ya Syria.
Syria imeshuhudia mzozo wa kisiasa tangu mwezi Machi mwaka jana wakati harakati za mapinduzi ya kiraia zilipoanza dhidi ya utawala wa Bashar al-Assad.
Katibu mkuu wa Umoja wa mataifa,Ban Ki-Moon anatarajiwa nchini Beijing kwa mazungumzo na rais wa nchi hiyo ambayo imejiunga na Urusi kupinga vikwazo vyovyote dhidi ya utawala wa Assad kwa kutumia kura yao ya turufu.
120717020008_fares_304x171_bbc_nocredit.jpg
Balozi wa zamani wa Syria nchini Iraq Nawaz Fares


Juhudi za kidiplomasia zinajiri wakati maafisa wa umoja wa mataifa nchini Syria wakilalamika kuhusu vizingiti vikubwa katika juhudi zao za kutoa msaada kwa watu waliokwama katika maeneo ya vita.
Syria inajulikana kwa kuwa na zana nyingi za kemikali. Wasiwasi umekithiri katika nchi jirani za Syria na katika baadhi ya nchi za magharibi kuhusu usalama wa zana hizo ikiwa utawala wa Asaad utaporomoka.
Alipoulizwa uwezo wa rais Assad kutumia zana hizo dhidi ya upinzani, bwana Fares aliambia BBC katika mahojiano naye kuwa hilo linaweza kufanyika akimtaja rais Assad kama mtu aliyejeruhiwa na pia kumfananisha kama mtu aliyenaswa.
120713135019_tremseh_syria_144x81_ap_nocredit.jpg
Mejeruhi wa vita Syria


Fares aliambia BBC kuwa rais Assad anaweza tu kuondolewa mamlakani kwa nguvu.
"kuna taarifa ambazo bado hazijathibitishwa kuwa zana za kemikali tayari zimetumiwa dhidi ya wapinzani hasa katika mji wa Homs," alisema Fares.

Madai yake kuwa wapiganaji kutoka madhehebu ya Sunni wanashirikiana na Al-Qaeda pamoja na wapiganaji wengine wa madhehebu ya Allawite ambao ndio wengi zaidi katika utawala wa Assad kupigana dhidi ya upinzani huenda yakawashangaza wengi.

Ghasia zingali zinaendelea kuenea katika maeneo mengi ya nchi na hata katika mji mkuu Damascus huku waasi ambao sasa wamejihami vya kutosha pamoja na kuwa wana mwelekeo mzuri , wakipambana na wanajeshi pamoja na makundi ya wapiganaji wa serikali.

Inaarifiwa kuwa mji mkuu sasa unashuhudia idadi kubwa zaidi ya wanajeshi wanaoshika doria tangu kuanza kwa harakati hizi miezi kumi na sita sasa imepita.

Wanaharakati wameripoti kutokea makabiliano kusini magharibi mwa mji mkuu na kusema kuwa mapigano mapya yamezuka katika maeneo ya Barzeh na Qaboun. Watu kumi waliuawa mjini Damascus ikiwa ni idadi ndogo kuliko iliyoshuhudiwa katika miji ya Hama na Homs.


BBC Swahili - Habari - Assad "huenda akatumia zana za kemikali"
 
napenda ninavyoona nchi zingine zikichoka na utawala wa mabavu ufisadi na udikteta wanaamua kuingia mtaani na kuitoa serikali kwa nguvu...power to the people..i wish na sie tungekua na hizo nguvu
 
Syrians Interior Minister Mohammed Ibrahim Al- Shaar,Defence Minister and Deputy Defence Minister are among those killed in a bomb blast in Damascus.
Other key members of the regime are reported to be injured as well.

Source : Al Jazeera.

My Take: inasemekana jamaa aliyehusika ni mmoja wa Inner circle bodyguards wa Al Assad. Hii inatufundisha nini Watanzania!? Bomb limelipuka ndani ya National Security HQ....security breach at its best. UMMA Ukichoka matokeo yake ni hatari sana.
 
Yeah,'malipo' ni hapa hapa duniani!
 
Habari kutoka Damascus zinasema kuwa Waziri wa Ulinzi wa Syria Dawood Rajha pamoja na Assef Shawkat ambaye ni shemeji yake Rais Assad wamefariki kutokana na shambulio kutoka kwa Suicide Bomber .

Habari zaidi zinasema Suicide Bomber huyo ni Member wa President Assad's inner circle , ambaye alijilipua wakati viongozi hao wakiwa kwenye Mkutano.

Updates

Serikali ya Syria imemteua Fahad Al Feraj kuwa Waziri Mpya wa Ulinzi ..... Wakati huo huo Raia wapo mitaani Damascus wakishangilia kinachoendelea hapo Damascus

Source ; Sky News na Kuthibitishwa na Television ya Taifa ya Syria
 
Wamepania kumuondoa Al Assad by any means.Bi Clinton alisema "his days are numbered",na huyu mama akisema maneno kama hayo mara nyingi huwa ana uhakika na nini kinachoendelea on the ground kuliko sisi wasomaji na watizamaji wa taarifa za habari nk.Amempania Assad just like how she did in the late Gaddafi' fate.Nadhani anajitayarisha kugombea urais kwa kuonyesha toughness on foreign policies kkwa kuwa yeye ni mwanamke basi anataka kuwaondoa shaka wale wenye kudoubt.

On the other hand,Russia kama wao wameprovide silaha waziwazi,basi wajuwe marekani wanafanya the same ila kwa siri,anayelalamikika ni Assad,kwa hali ilivyo,ni wazi CIA ama seal team 6 or 7 wamo wanawasaidia hao rebels,ukombozi hauji cheap kama utawala uko radhi kufanya lolote ili kubaki madarakani.Wananchi wa Syria walitafuta mbinu za kujilinda dhidi ya ukandamizi wa wazi wazi wa serikali yao.

Serikali za type hiyo hata mfano ya kwetu,huwa hawakubali kuondoka madarakani kwa amani kama wananchi wakitaka,so wanatumia mabavu na njia mbalimbali.Kwa kuweka watu wake na ndugu zake kwenye nafasi nyeti za jeshi,polisi na usalama hakujamsaidia Assad wala Gaddafi kubaki madarakani kama alivyotaka.

Sisi watanzania tunachukulia matukio ya serikali yetu kama movies ama simulizi tu na hekaya za hadithi,ukombozi unaletwa na unshakable resolve,ni lazima kutafikia pahala where people can't take it no more.Hakuna marefu yasiyokuwa na ncha.
 
Hivi suicide bombing huwa inategemea ni nani anaitumia kabla ya kulaani kitendo hicho?Just a bit of double standard,that's it.
 
Back
Top Bottom