elmagnifico
JF-Expert Member
- Jul 7, 2011
- 8,260
- 9,743
alsaed atashinda ama hii vita haitoisha. Haileti maana ma jihadist pengine waitwe magaidi na sehemu nyingine wapewe support na wale amabao nchi nyingine uwaita magaidi.
USA, France, S.arabia na UK wanafiki wakubwa.
USA, France, S.arabia na UK wanafiki wakubwa.