Syria inafuatia baada ya Libya

Syria inafuatia baada ya Libya

 
Last edited by a moderator:
 
Last edited by a moderator:
Wamarekani(Pentagon), wanaangalia options za kuwasaidia wapinzani ikiwemo a no fly zone, aistrike pamoja na humanitarian aid.
 
 
Last edited by a moderator:
Huku pamekuwa pagumu, walijua, itakuwa kama Libya. wote wamekimbia sasa safi sana Asad
 
Mkuu ni kweli kuna exaggerations to some extent, lakini bado ni kweli wanakufa sana raia wasiokuwa na hatia mkuu.
Mkuu jmushi1.

Kweli watu,raia wengi wanakufa lakini nani anawaua watu hawa? Sio jeshi lililoundwa na US-NATO(free syrian army)?

Hili jeshi lenye kutaka "free" Syria limeua wangapi katika hao 7500?

Assad amekubali mazungumzo na wapinzani lakini kwa kiburi cha kuungwa mkono na US-NATO, upinzani hautaki mazungumzo. The same story line kama ya Libya. US-NATO wanataka regime change, no matter what.
 
A senior Iranian diplomat blasted the western countries, specially the US, for their double-standard attitude towards terrorism, and said the Syrian people and security forces are being killed by the al-Qaeda-affiliated terrorists who are armed with the US and Israeli weapons.

“The West does not speak about the ties between the terrorist groups in Syria and the al-Qaeda which slaughters the people with US and Israeli weapons in that country,” Iranian Ambassador to Uruguay Hojjatollah Soltani said on Monday.

Zaidi hapa Iranian Envoy: Syrian Terrorists Killing People with US, Israeli Weapons | CounterPsyOps
Cha kusikitisha zaidi ni kuwa tuna Waislamu wanaonunua hizi propaganda rahisi za huyu mouvu Alawite Shia Bashar na masterz wake wa Kiirani!
To defend Syria is to defend Palestine – An interview with Azzaam Abdal-Hakim

To defend Syria is to defend Palestine
Kazi tunayo!
 
Cha kusikitisha zaidi ni kuwa tuna Waislamu wanaonunua hizi propaganda rahisi za huyu mouvu Alawite Shia Bashar na masterz wake wa Kiirani!
To defend Syria is to defend Palestine – An interview with Azzaam Abdal-Hakim

To defend Syria is to defend Palestine
Kazi tunayo!


Why you bring religion issue here? Go to "jukwaa la dini".
You have a nice ID name though!! Sideeq!!??? Are you Sunni, shia, pagan, christian?

Waislam!!??? Mnayo kazi!

Uelewe Kama ilivyokuwa Libya, uhuru wa kuabudu chini ya Gaddafi uliheshimiwa regardless ya imani yako. Leo unaelewa kinachoendelea huko Libya? Uhuru wa kuabudu bila kujali imani yako unapatikana Syria leo...lakini Al qaeda aka Free Syrian Army itakapofanikiwa kuandaa mazingira ya US-NATO kupiga mabomu kama Libya kumtoa Bashaar. Syria haitokuwa tofauti na Afghanistan, Iraq, Libya ya Leo.

Hapa tunaongelea US-NATO wanavyoharibu nchi za watu kwa kisingizio cha domokrasi, war on terror, kuwapatia silaha "waasi" ili kupandikiza vibaraka wao..
 
UN-Arab League mediator Kofi Annan and Russia urged President Bashar al-Assad on Wednesday to speed up efforts to end the bloodletting in Syria, as regime forces overran another rebel city.

On the eve of the first anniversary of an anti-Assad revolt, the opposition suffered setbacks on both the military and political fronts, with its Syrian National Council (SNC) coalition hit by resignations.

Zaidi hapa Annan and Moscow urge Assad to act as rebel city falls - Yahoo! News UK

Pia hapa BBC News - Syrian troops 'take control of northern city of Idlib'
Syrian government forces have taken control of the north-western city of Idlib, after days of clashes with rebel fighters, opposition activists say.
 
Regime ya Syria itafika mwisho tUU!!! Fikiri Baba mtu alimwachia madaraka mtoto wake wakati siyo himaya ya Kifalme!!!

Akibali tu esepe au asubiri ya Sadam au Ghadafi!!!
 
Bado sijakuelewa Mkuu, tafadhali fafanua zaidi!
Ni kuwa Kofi nahisi atakuwa ametumiwa kuingiza 'agents' nchini Syria ambao wanasaidia ku'locate' coordinates za kushambulia. kama alivyofanya wakati wa vita ya Ghuba.
 
Na wale ambao hawataki kuona serikali( ikiwamo Syria) zinazosimamia rasilimali zake za asili kunufaisha raia wake zikistawi, huku wakitumia vibaya vifungu vya makubaliano ya kimataifa. Tupo pamoja Askari kanzu?
Tuko pamoja. Mkuu hebu wataje hao basi!
 
Opposition says Syrian rebel fighters to get salaries

Conference delegates said wealthy Gulf Arab states would supply millions of dollars a month for the SNC fund.

Rebels fighting the government of President Bashar al-Assad in Syria will be paid salaries, the opposition Syrian National Council has announced.

Money will also be given to soldiers who defect from the government's army, the SNC added, after a "Friends of the Syrian people" summit in Turkey.

The meeting recognised the SNC as the "legitimate representative" of Syrians. (LIBYA 2 in making!)

BBC News - Opposition says Syrian rebel fighters to get salaries
 
Back
Top Bottom