Syria inafuatia baada ya Libya

Syria inafuatia baada ya Libya

PINDA, LUKUVI, MAKINDA mpo tumewachoka msilazimishe tuwapende, wananchi tukichoka tumechoka...... TZ siyo kisiwa
 
kaua watu innocent wengi mnoo, yale yale ya Ghadafi na Saddam huyu sasa watamkuta toilet anakata GOGO kwa taharuki
 
Ukiona mwenzio ananyolewa,.......!, kiburi na jeuri, kitayacost maisha ya Viongozi waliokwishachokwa na Wananchi, wanajiona wako juu sana na wanapower ya kuwatenda wananchi wanavyotaka, hawajui kuna siku mambo yatawarudia na hawataamini, hata chance ya kutaka kujiua wenyewe itakuwa si rahisi kuipata, wananchi wakiwakamata mikononi mwao
 
Huyu siku zimekwisha muda wowote kuanzia sasa anakimbia jiji
Rais Bashar Asad atakimbilia wapi? Labda aende Iran? Atauliwa kama alaivyo uliwa Kanal Qadaffi Mkuu Yombayomba Vita vipo mjini Damascus kati ya Wapinzani na Seikali na leo wamesha uliwa Waziri wa ulinzi wa Syria na mkuu wa Majeshi kwa Bomu la kijiripua mtu mwenyewe kazi ipo huko Syria.
 
Nguvu ya umma siyo mchezo, huyo rais mda si mrefu atakutana na col.Gaddafi
 
ninafurahi kwamba ataondoshwa kama panya, atajificha kwenye majaluba kama gadafi......kitu kizuri zaidi ni kwamba, nchi ya syria imenyongónyezwa kupita kiasi, garama tu ya kuijenga tena ni kubwa mno kwasababu majengo mengi na miundo mbinu mingi imeharibiwa na inahitaji garama kubwa.....hii ni habari njema kwa Israel na wamagaribi, wakitaka kuipiga Iran syria haitakuwa njia au msaada kwa iran, kwasababu kwa kuchakachuliwa ambako syria imefikia sasaivi, hawatakuwa tayari kukabiliana na kipigo cha wayahudi/israel kwani wao wangewaharibu kuliko hata ambavyo amewaharibu assad.....kilicho baki hapo ni kwamba, IRAN IMEBAKI PEKE YAKE, hana msaidizi, hata nchi za kiislam wenzie wamemgeuka, hivyo kitanuka muda si mrefu kwa ahmadinejad, naye atamfata sadam na gadafi.
 
nakubaliana nawe 100%
 
Syria inaingia au imeingia kwenye civil war kwa sababu ya upofu wa Jeshi na Idara ya Usalama . Jeshi lilitakiwa lifanye kile ambacho majenerali wa Egypt walifanya ya kumwambia raisi toka tuinusuru nchi.

Leo hata akitoka anaiacha nchi katika mauaji ya kulipiza kisasi ni hatari saana waendako.
 
Leo tena Russia na China wame veto resolution ya kuibana Syria kwa namna yoyote.
 
China na Urusi wamemnyima Kofi kikokotolio/calculator kumalizia shughuli yake, kwa kuificha kwenye sanduku la VETO
 
silaha za kikemikali na kibaiolojia kutumika nchini
Syria dhini ya majeshi ya kigeni. Kamwe silaha hizo hazitatumika kuwadhulu raia wa nchi hiyo.

vyanzo: BBC,RT, Al Jazeera, na Debka
 
Back
Top Bottom