Ila kufananisha Michuzi Blog na JF ni sahihi?nikijiridhisha hapo ndipo nitakapochangia
Nina mashaka na uwezo wa kufikiri wa watu wa synovate.Huwezi ukalinganisha jf na other electronic media like blog ya michuzi. JF ilinganishwe na facebook au twiter.JF ihukumiwe kutokana na mchango wa members sio JF per se
Fare??Nafikiri fair pia ina maana ya nauli.
Mkuu umemaliz kila kitu. JF inakuwa kuntrolled na members wenyewe na siyo mtu mwingine pembeni.JF siyo kama gazeti au kituo cha runinga. Habari nyingi zinatokana na members na michango yao. Kwa hiyo ni members wa JF waliegamia upande wa Chadema ila huwezi sema JF iliegemea upande wa Chadema. Inaonyesha hawajui forum ni nini na madhumini yake ni nini.
ukumbuki kile kipindi cha mchakato majimboni .Ni vigezo gani wanatumia kusema tbc1 ilikuwa fair?
Si sahihi kabisa. Ila ni obvious forum yoyote yenye watu walioenda shule kidogo haitakuwa na wana magamba wengi, wao wana forum zao kule vijijini.Ila kufananisha Michuzi Blog na JF ni sahihi?nikijiridhisha hapo ndipo nitakapochangia
na fare?Nafikiri fair pia ina maana ya nauli.