Synovet: JamiiForums iliegemea upande wa CHADEMA uchaguzi mkuu 2010

Status
Not open for further replies.
TBC walikuwa fair??? Mh! Labda neno fair lina maana zaidi ya moja
Mkuu by then ni kweli TBC ilikuwa fair....na fairness hiyo ikamkosti TIDO MHANDO....akatupiwa virago vyake............Ila hii TBC ya sasa..........mama yangu mwanamke! Uozo mtupu!
 
Poleni kwa kujiumiza kichwa juu ya Synovet si ni hawa walichakachua report ya kura za maoni ya mwaka 2010.Sina imani nao
Kufananisha Michuzi blog na JF ni sawa sawa kufananisha gazeti la kiu/ijumaa/uwazi na mwanahalisi/Raia mwema
 
Ni vigezo gani wanatumia kusema tbc1 ilikuwa fair?

Mimi kwa mtazamo wangu nadhani TBC kwa kulinganisha na vyombo vyengine hata vya binafsi ilikuwa fair.

Nadhani ndio maana Tido walimwonyesha njia.

Ambacho sijakifahamu ni JF kama yenyewe au wachangiaji?

Labda nikisoma ripoti kamili nitajiridhisha.

Sizungumzi ki CHADEMA CHADEMA mimi.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom