Synovate: Vinara tisa urais 2015

Synovate: Vinara tisa urais 2015

Wameanza kazi yao!! Hatudanganyiki!!!

2015 nakusanya nauli kuja kupiga kura!!!
 
Sikubaliani hata kidogo na matokeo niliyoyaona gazeti la leo la mwananchi kwani hao waliotolewa wote ni kwasababu ya kujuana na urafiki na kupigiana promo, mimi nasema huo ni utafiti feki mimi DEOGRATIUS KISANDU ndiye ninaye ongoza mpaka sasa kwa asilimia 35% lakini ukweli umefichwa.
 
  • Thanks
Reactions: EMT

Hivi upo sawa kweli kichwani?Npata mashaka kidogo.
 
Sikubaliani hata kidogo na matokeo niliyoyaona gazeti la leo la mwananchi kwani hao waliotolewa wote ni kwasababu ya kujuana na urafiki na kupigiana promo, mimi nasema huo ni utafiti feki mimi DEOGRATIUS KISANDU ndiye ninaye ongoza mpaka sasa kwa asilimia 35% lakini ukweli umefichwa.

Wewe ni MWEHU!!!
 
Tuweke masikhara pembeni, we jamaa siyo mzima.
...kitufe cha like kingekuwa kinagongeka zaidi ya mara moja ningekipiga hata mara kumi,umemaliza kila kitu hata hamna haja ya kuchangia huu uzi !!
 
65.5% ya wanafunzi wa kidato cha nne mwaka 2012 wamefeli mtihani,na huyu ni mhitimu wa kozi ya ualimu ngazi ya shahada.Kweli tunategemea akaokoe jahazi??????/
 
Mimi nahisi Chadema ina "kauchawi" fulani hivi. Kwa uzoefu wangu hakuna aliyeondoka Chadema akaendelea kuwa mzima kiakili. Lazima ama apate kaugonjwa ka kuweweseka au akili kuhamia kunako maeneo. Today I have proved the theory beyond reasonable doubt.
 
Back
Top Bottom