Sikubaliani hata kidogo na matokeo niliyoyaona gazeti la leo la mwananchi kwani hao waliotolewa wote ni kwasababu ya kujuana na urafiki na kupigiana promo, mimi nasema huo ni utafiti feki mimi DEOGRATIUS KISANDU ndiye ninaye ongoza mpaka sasa kwa asilimia 35% lakini ukweli umefichwa.
It is in the public domain now and should be accessible on demand.Habari ya gazeti haijakamilika. Gazeti ni kama halina mhariri na muandishi ana "Pass" ya division four ya mkia isiyo na utashi (kuna nyingine zina utashi).
Ripoti unayoisema ni kamili iko wapi?
It is in the public domain now and should be accessible on demand.
Mi nimeipata kwa njia ninazo zijua mimi, ukitaka nitakutumia na wewe
Nimeridhika kua wana 95% of confidence, sample ya 2000 people
Rural and urban area reflective, gender balanced na standards zingine zote
Hivi mtu unawezaje kuandika habari yooooote hii, na kuweka asilimia zooote hizo, bila kutoa sample space ilikuwa vipi (watu wangapi, kutoka wapi etc) na methodology iliyotumika ( wamepewa questionnaires, wamepigiwa simu etc).
Gazeti lina mhariri hili?
Tutajuaje kama sample space si madarasa mawili ya shule moja ya sekondari yanayojumuisha wanafunzi waliojichokea na kujaza questionnaires randomly kama sehemu ya adhabu ya utovu wa nidhamu?
Sio wa siri! umejaribu kwenda site yao? Au kuwaandikia on "contact us"?Mmh, huo utafiti wa siri kama jando una la maana kweli?
Pamoja na yote, naomba kuuona kama inawezekana?
Sikubaliani hata kidogo na matokeo niliyoyaona gazeti la leo la mwananchi kwani hao waliotolewa wote ni kwasababu ya kujuana na urafiki na kupigiana promo, mimi nasema huo ni utafiti feki mimi DEOGRATIUS KISANDU ndiye ninaye ongoza mpaka sasa kwa asilimia 35% lakini ukweli umefichwa.
Sio wa siri! umejaribu kwenda site yao? Au kuwaandikia on "contact us"?
Nitumie email yako via PM nikutumie. Mi mshamba, sijui kuu-post humu
Ngoja nimtumie Max mwenyewe aweke ripoti in this thread, as he does.
Wamejitahidi kuchakachua asilimia za Dr. Slaa wakabakiwa na 17%! Yaani alipopambana na reigning president alikuwa juu, leo hii ashuke! Synovate acheni kutumiwa bana semeni ukweli halisi maana mmejua tofauti na kuonyesha Dr anaongoza wananchi wangewadharau maana huo ndio ukweli ambao hata kipofu anauona.
kweli mkuu! utafiti unaonyesha unaongoza sana tu, hao sinoveti washenzi tu. mkuu 2015 wee ndo mkulu wetu.Sikubaliani hata kidogo na matokeo niliyoyaona gazeti la leo la mwananchi kwani hao waliotolewa wote ni kwasababu ya kujuana na urafiki na kupigiana promo, mimi nasema huo ni utafiti feki mimi DEOGRATIUS KISANDU ndiye ninaye ongoza mpaka sasa kwa asilimia 35% lakini ukweli umefichwa.
Mkuu Regan Morgans, kama haya ni matokeo ya utafiti, sasa hii ya wewe kuuliza kama jee ni kweli, unamaana unamashaka na utafiti huu wa Synovate?.
Kwa kusaidia tuu, sio tuu ni kweli kabisa kuwa EL anaanza kukubalika zaidi, bali baadhi ya Watanzania wanaanza kuukubali ukweli kuwa EL ni jembe la ukweli!.
Haya maroroso tunayoyashuhudia katika kuporomoka kwa elimu yetu ni baadhi tuu ya matokeo ya serikali dhaifu ya JK kuitelekeza mipango ya EL na shule za kata ili kumkomoa, sasa imejikuta yenyewe ndio inakomoleka na kufikia 2015, EL atakuwa juu kabisa on top of the charts ili kufungua tuu njia na kunyoosha mapito ya "the chosen one!".
" Jiwe walilolikataa waashi, litafanywa kuwa jiwe kuu la pembeni!".
Yeye ndie ule mwamba wa Kaskazini unaozungumziwa kwenye maandiko mbalimbali kuwa
"Wewe ni mwamba, juu ya mwamba huu, nitalijenga taifa langu!".
Pasco.