utafiti unaonyesha kuwa lowassa anazid kukubalika kadri ya siku zinavyozd kwenda. Je hii ni kweli?
Mkuu Regan Morgans, kama haya ni matokeo ya utafiti, sasa hii ya wewe kuuliza kama jee ni kweli, unamaana unamashaka na utafiti huu wa Synovate?.
Kwa kusaidia tuu, sio tuu ni kweli kabisa kuwa EL anaanza kukubalika zaidi, bali baadhi ya Watanzania wanaanza kuukubali ukweli kuwa EL ni jembe la ukweli!.
Haya maroroso tunayoyashuhudia katika kuporomoka kwa elimu yetu ni baadhi tuu ya matokeo ya serikali dhaifu ya JK kuitelekeza mipango ya EL na shule za kata ili kumkomoa, sasa imejikuta yenyewe ndio inakomoleka na kufikia 2015, EL atakuwa juu kabisa on top of the charts ili kufungua tuu njia na kunyoosha mapito ya "the chosen one!".
" Jiwe walilolikataa waashi, litafanywa kuwa jiwe kuu la pembeni!".
Yeye ndie ule mwamba wa Kaskazini unaozungumziwa kwenye maandiko mbalimbali kuwa
"Wewe ni mwamba, juu ya mwamba huu, nitalijenga taifa langu!".
Pasco.
Hivi mtu unawezaje kuandika habari yooooote hii, na kuweka asilimia zooote hizo, bila kutoa sample space ilikuwa vipi (watu wangapi, kutoka wapi etc) na methodology iliyotumika ( wamepewa questionnaires, wamepigiwa simu etc).
Gazeti lina mhariri hili?
Tutajuaje kama sample space si madarasa mawili ya shule moja ya sekondari yanayojumuisha wanafunzi waliojichokea na kujaza questionnaires randomly kama sehemu ya adhabu ya utovu wa nidhamu?
Umenena vema mkuu,ikulu imewaagiza wafanye hivyo ili taharuki ya watanzania kuhusu matokeo mabovu ya kidatu cha nne isahaulike Mwananchi banaa mbona heshima inashuka???ninyi nyote ni wakenya si mkaandike na kutoa tafiti zenu kwenye uchaguzi wa kwenu???Hawa wametumwa ili tu kutuondoa Watz kwenye hoja za msingi kama kujadili matokeo mabovu ya form 4, hali ya ulinzi na usalama na vitu vinavyogusa maslahi ya nchi, wakijua kabisa kuwa sisi wabongo ni watu wa kutuondoa kwenye hoja kwa kutuletea tu hoja mpya ili tuisahau hoja ya mwanzo...kyenzi kabisa hawa.....ptuuuuuu.....
Ulitaka sample iwe ya watu wangapi ili uridhike kwamba inaakisi uhalisia??Mkuu Kiranga,
Unastaajabia ya Mwananchi unaacha kuyaona ya REPOA? Wanafanya research ambayo ni cross country na kuhusisha mikoa 26 na sample ya watu 2600 (mind you, wakati research hii ifanyika mid June mwaka jana, Tanzania ilikuwa na population ya 45m. Sasa assuming ukiondolea watoto na wale totally impaired ambao hawawezi kushiriki kuhojiwa ni 10m na tubaki na 35m, je, unaweza uka-draw conclusion kwa sample ya ratio ya 2600:35,000,000?
Tutafika tu 2015
Mkuu Regan Morgans, kama haya ni matokeo ya utafiti, sasa hii ya wewe kuuliza kama jee ni kweli, unamaana unamashaka na utafiti huu wa Synovate?.
Kwa kusaidia tuu, sio tuu ni kweli kabisa kuwa EL anaanza kukubalika zaidi, bali baadhi ya Watanzania wanaanza kuukubali ukweli kuwa EL ni jembe la ukweli!.
Haya maroroso tunayoyashuhudia katika kuporomoka kwa elimu yetu ni baadhi tuu ya matokeo ya serikali dhaifu ya JK kuitelekeza mipango ya EL na shule za kata ili kumkomoa, sasa imejikuta yenyewe ndio inakomoleka na kufikia 2015, EL atakuwa juu kabisa on top of the charts ili kufungua tuu njia na kunyoosha mapito ya "the chosen one!".
" Jiwe walilolikataa waashi, litafanywa kuwa jiwe kuu la pembeni!".
Yeye ndie ule mwamba wa Kaskazini unaozungumziwa kwenye maandiko mbalimbali kuwa
"Wewe ni mwamba, juu ya mwamba huu, nitalijenga taifa langu!".
Pasco.
Ulitaka sample iwe ya watu wangapi ili uridhike kwamba inaakisi uhalisia??