Hicho kitu hata mimi kimenishtua sana,huyu jamaa akapimwe.
kiongozi kumbuka hata Nyerere alikuwa ni mwalimu. Ila huyu Mwalimu Deogratius Kisandu sasa inatosha anafikiri ni utafiti wa CWT.Baadhi ya walimu wana matatizo na yule mgombea urais wa Kenya bwana Dida nae ni mwalimu
vipi na wewe ni mgombea?
Hivi mtu unawezaje kuandika habari yooooote hii, na kuweka asilimia zooote hizo, bila kutoa sample space ilikuwa vipi (watu wangapi, kutoka wapi etc) na methodology iliyotumika ( wamepewa questionnaires, wamepigiwa simu etc).
Gazeti lina mhariri hili?
Tutajuaje kama sample space si madarasa mawili ya shule moja ya sekondari yanayojumuisha wanafunzi waliojichokea na kujaza questionnaires randomly kama sehemu ya adhabu ya utovu wa nidhamu?
Utafiti huu hauna togauti na U tabiri wa Shekhe Yahaya, hivyo kwa yule mwenye akiri ataupuuza ila kwa yule mshabiki ataendelea kuushabikia. Haijawahi kutokea kuwa na utafiti hambao hauna Sample au dodoso hivyo ni saw tu na ule aliokuwa anaufanya Shekhe Yahaya maana ulikua ni wamaoni yake binafsi.
Leo nimeonekana chizi maana nimecheka kwa nguvu peke yangu kweli lakin tuweke utani pembeni huyu jamaa sio mziima hahahahhahahahah
elim zenu izo ndio nyinyi vilaza mnataka kila kitu mezan!
Maybe gazeti ndio lilinukuu vibaya (I haven't seen the article)Unaambiwa "utafiti" lakini hauna hata margin of error.
Na watu wanau gobble up tu.
SMH.
Ana matatizo ya ubongo. Sijui Mbatia alifikiri nini kumpa uongozi!
Hivi mtu unawezaje kuandika habari yooooote hii, na kuweka asilimia zooote hizo, bila kutoa sample space ilikuwa vipi (watu wangapi, kutoka wapi etc) na methodology iliyotumika ( wamepewa questionnaires, wamepigiwa simu etc).
Gazeti lina mhariri hili?
Tutajuaje kama sample space si madarasa mawili ya shule moja ya sekondari yanayojumuisha wanafunzi waliojichokea na kujaza questionnaires randomly kama sehemu ya adhabu ya utovu wa nidhamu?
Maybe gazeti ndio lilinukuu vibaya (I haven't seen the article)
Ila ripoti kamili. Whether ipo sahihi ni maoni yangu, but ni kamili
una maananisha hizi sekondari ambazo wanafunzi wamepata zero karibu wote???