C umeona wameanza kuzipunguzaHawa wakenya waache unafiki.
Sasa hivi wanatoa matokeo haya, ikifika kipindi cha uchaguzi, kila kitu in favour of magamba. Narabuuuku!
Utafiti ufanyikao kwenye mi-boardrooms hizi bana!!!!!!!!!!
Tukikaribia uchaguzi hawa hawa watasema Slaa ni wa pili kisa mlungula wa chama Tawala
Hivi mtu unawezaje kuandika habari yooooote hii, na kuweka asilimia zooote hizo, bila kutoa sample space ilikuwa vipi (watu wangapi, kutoka wapi etc) na methodology iliyotumika ( wamepewa questionnaires, wamepigiwa simu etc).
Gazeti lina mhariri hili?
Tutajuaje kama sample space si madarasa mawili ya shule moja ya sekondari yanayojumuisha wanafunzi waliojichokea na kujaza questionnaires randomly kama sehemu ya adhabu ya utovu wa nidhamu?
Mi nashaur Josephine km kweli ana nia ya dhati na chama angebaki km mchumba wa Dr na mwanachama wa CDM bas mpaka labla atakapochaguliwa kwa hiar ya wanachama kushika wadhfa wowote mana kiukweli kwa kias flan anampunguzia Dr kura badala ya kumuongezea pia kuleta migongano isio ya lazima. Huu ni mtazamo wangu.
Haieleweki, hapa asilimia zimekaaje wakuu mbona jumla haifikii 100. Au ndio synovate wanatuonyesha jinsi kura za dr Slaa zitakavyochakachuliwa!
Nadhani uchaguzi wa serikali za mitaa next year 2014 uta-reflect uhalisia wa kama Dr. Slaa bado ni mwamba au laa,Mbona inaonekana umaarufu wa Dr. Slaa umeporomoka kutoka 42% hadi 17%? Hii inaashiria nini? Watu wamemchoka au wameichoka CHADEMA? Umaarufu wa CHADEMA nao umeshuka! Inaonekana kama kuna negative correlation kati ya M4C na umaarufu wa CHADEMA.
Mkuu Ritz umeamka?
Mbona inaonekana umaarufu wa Dr. Slaa umeporomoka kutoka 42% hadi 17%? Hii inaashiria nini? Watu wamemchoka au wameichoka CHADEMA? Umaarufu wa CHADEMA nao umeshuka! Inaonekana kama kuna negative correlation kati ya M4C na umaarufu wa CHADEMA.
Mkuu Ritz umeamka?
Mkuu naungana na wewe, hii ni danganya toto.Uchaguzi ukikaribia utasikia mgombea wa magamba anaongoza!