Taarifa nilizozipata kutoka Idara ya Mawasiliano(Somewhere) inaeleza kuwa Serikali imejipanga kujisafisha na kashfa za mchafuko wa hali ya kisiasa na ukiukwaji mkubwa wa haki za Binaadam uliofanywa na Polisi hivi karibuni katika mikoa ya Morogoro na Iringa.
Mkakati huo ni kuwa,Taasisi hizo mbili zitafanya utafiti na baadaye kutoa majibu ya kuisafisha serikali kama vile;
1. Ripoti itaonyesha kuwa Hali ya amani ya Taifa ni zaidi ya 98% (Kulingana na vyombo vya usalama na baadhi ya Raia watakaohojiwa)
2. Ripoti yao itaonyesha kuwa bado watanzania wengi wana imani na Serikali iliyopo kwa zaidi ya 90%
3. Ripoti itaonyesha kuwa bado wananchi wana imani na wanaonyesha ushirikiano na kwa Jeshi la Polisi kwa zaidi ya 88%
4. Ripoti itaonyesha kuwa chama cha Mapinduzi bado kinapendwa na wananchi wengi walio vijijini kwa 95% huku mijini Chama hicho kikikubalika kwa 85%
5. Ripoti hiyo itaonyesha kuwa Wananchi wengi bado wanamkubali Rais Kikwete kwa 91% dhidi ya Katibu mkuu wa CHADEMA Mhe.Dr.Slaa ambaye ataambulia 9% tu.
Ripoti hiyo itagusia pia masuala ya uwajibikaji wa wabunge na bunge kwa ujumla, kupungua kwa hali ya rushwa nchini;NK.
Ripoti hizo zitatolewa na kupelekwa hata kwa nchi wafadhili kwa lengo la kuwahakikishia kuwa bado Tanzania iko salama na Amani ya kudumu bado ipo.
My take:
Hizi taasisi zikikubali kutekeleza 'Mkakati' huo zitakuwa zimepoteza credibillity ya kuitwa taasisi.
Mkuu Mallya ahsante kwa taarfa ila hebu niweke waz Jk anakublka kwa asilimia 91 dhidi ya dr. Slaa 40% kimahesabu napata utata! Hebu sahsha habar yako sehmu nyng 2!
vp?serikali haijajipanga kutoa report ya nani aliemuua chacha wangwe?
inaonesha wewe ulikua unaziamini hizi taasisi siku za nyuma,,,,pole sanaTaarifa nilizozipata kutoka Idara ya Mawasiliano(Somewhere) inaeleza kuwa Serikali imejipanga kujisafisha na kashfa za mchafuko wa hali ya kisiasa na ukiukwaji mkubwa wa haki za Binaadam uliofanywa na Polisi hivi karibuni katika mikoa ya Morogoro na Iringa.
Mkakati huo ni kuwa,Taasisi hizo mbili zitafanya utafiti na baadaye kutoa majibu ya kuisafisha serikali kama vile;
1. Ripoti itaonyesha kuwa Hali ya amani ya Taifa ni zaidi ya 98% (Kulingana na vyombo vya usalama na baadhi ya Raia watakaohojiwa)
2. Ripoti yao itaonyesha kuwa bado watanzania wengi wana imani na Serikali iliyopo kwa zaidi ya 90%
3. Ripoti itaonyesha kuwa bado wananchi wana imani na wanaonyesha ushirikiano na kwa Jeshi la Polisi kwa zaidi ya 88%
4. Ripoti itaonyesha kuwa chama cha Mapinduzi bado kinapendwa na wananchi wengi walio vijijini kwa 95% huku mijini Chama hicho kikikubalika kwa 85%
5. Ripoti hiyo itaonyesha kuwa Wananchi wengi bado wanamkubali Rais Kikwete kwa 91% dhidi ya Katibu mkuu wa CHADEMA Mhe.Dr.Slaa ambaye ataambulia 9% tu.
Ripoti hiyo itagusia pia masuala ya uwajibikaji wa wabunge na bunge kwa ujumla, kupungua kwa hali ya rushwa nchini;NK.
Ripoti hizo zitatolewa na kupelekwa hata kwa nchi wafadhili kwa lengo la kuwahakikishia kuwa bado Tanzania iko salama na Amani ya kudumu bado ipo.
My take:
Hizi taasisi zikikubali kutekeleza 'Mkakati' huo zitakuwa zimepoteza credibillity ya kuitwa taasisi.
Mkuu Mallya ahsante kwa taarfa ila hebu niweke waz Jk anakublka kwa asilimia 91 dhidi ya dr. Slaa 40% kimahesabu napata utata! Hebu sahsha habar yako sehmu nyng 2!
MKUU darasa la hesabu ulikimbia, au? ANGALIA namba 5 katika thread ya MALLYA, amesema JK 91% na DR SLAA 9%, wewe hiyo 40% UMEITOA WAPI? Jifunze kusoma vizuri
Hizo tasisi zishapoteza credibility na Bansen bana wao mda mrefu.