Unamsaidia unajua maana halisi ya kufunga lakini?sio kukaa kuomba siku za kufunga ziiishe.kufunga ni kuitesa nafsi kwa ajili ya kuufanya mwili uwemdhoofu ili uweze kuomba vizuri na sio kufunga kufuata mkumbo kama wewe hujapanga kufunga usijitese kushinda njaa wakati hausali.
Rev, Huo wako ni uvivu! Hivi huwezi kupika mwenyewe hadi apike la aziz?
Ningekuwa mimi ninamwambia akalale mimi niko jikoni ninatayarisha mlo.
Na wakati wa futari mimi utadhani ndio nilofunga sana kuliko la aziz!

Yaani Mkuu umeninyang'anya cha kusema... lol
Pale ulipopawekea red kwa post ya Mh, Rev Masa, ndio kitu kilichonifanya nisimpongeze!
Kwa kulazimishwa kwake huku na hali ya "saumu ya kutengenezewa" nashaka sana kama hamsumbui "laazizi wake" usiku!
Ila kwa heshima ya mchungaji, hongera zake kwa mapenzi yake makali kwa "laazizi" hadi kwenye mwezi huu wa haki!!