Msamaha wako umekubaliwa.Kipala said:Samahani nikichangia bila lugha ipasavyo hapa.
Nilishasema siku nyingi sana kuwa ni Talmud na ni lugha ya Kiingereza ndiyo niliyoquote.Kipala said:Je kile Libbre David ni nini?? Je ni sehemu ya Talmud?? Ni lugha gani?
Ahsante kwa kutuonyesha upeo wako wa ku googleKipala said:Maana kwa njia ya kupiga google nimekuta madai eti nukuu hii ni uwongo mtupu hakuna sehemu kwa jina hili (au jina la kufanana) katika Talmudi popote duniani
Nitafurahi sana ukikanusha kwa vielelezo kuwa hii siyo quotation ya Talmud wakati Makuhani wakutegemewa wa Kiyahudi hawaikanushi ila wanasema ni misquoted.Ahsante kwa kutuonyesha upeo wako wa ku google
Soma hii uone mwenzako anvyojaribu kui refute! hakatai kama hai exist!
The Talmud (Myths and Misquotes) - SkepticWiki
Lol! na huyu naye anasemaje mkuu?:a) Huwezi kumwonyesha hata "kuhani" 1 wa Uyahudi anayesema unavyodai. Hayuko – vile kitabu "Libbre David" hakipo
b) unaleta hapa tovuti ya uwongo maana unadai kinyume cha kile kinachoandikwa humo waziwazi:
Website hii inasema:
12. "To communicate anything to a goy about our religious relations would be equal to the killing of all Jews, for if the goyim knew what we teach about them they would kill us openly." (Libbre David: 37 - All of these misquotations and others are corrected and refuted further below.
Ukiendelea "further below" unakuta:
Correcting the misquotes; Part 1 - SkepticWiki.
"To communicate anything to a goy about our religious relations would be equal to the killing of all Jews, for if the goyim knew what we teach about them they would kill us openly." - Libbre David: 37
This is a fabrication. There is no such book and no such quote. There is also internal evidence that this is a fabrication – no such book exists in the Talmud or in the entire Jewish literature."
Sasa sijui kama hujui kusoma au nini? Hii site unayorejea inasema wazi: kitabu hiki hakipo. Kama ungeweza kusoma Talmud yenyewe ungeijua pia.
Mkuu, nilikuwa nataka ukubaliane na mimi kuwa, kutokukijuwa au kutokiona kitabu wewe haimaanishi kuwa hakipo, je unakubaliana nami ili tuendelee kuanzia hapa?Unajikunjakunja kama mnyoo juani! Bwana WEWE umeleta site unayodai inakusupport MIMI nakuonyesha ni kinyume.
Huna adabu kusema "Samahani nilikosea" bali unaendelea na mchezo.
Aibu yako.
lakini SideeqMkuu, nilikuwa nataka ukubaliane na mimi kuwa, kutokukijuwa au kutokiona kitabu wewe haimaanishi kuwa hakipo, je unakubaliana nami ili tuendelee kuanzia hapa?
Baba Kamma 37b. The gentiles are outside the protection of the law and God has "exposed their money to Israel."
sideeq wahangaika,kutuletea porojo
kitu moja nakuomba, mwezi utakapoanza
sisahau kunambia,uniungishe magimbi
mihogo na nyanyachungu,bila sahau mbatata
takuuzia bei cheee,ili uchukue vingi
ushindilie kwa daku,usiku kucha bugia
changanya changanya vitu,kwenye ilo tumbo moja
asubuhi kuinama ili uswali vizuri
sipati picha ikoje,kwenye icho chumba chenu
cha kuswalia mtume,kwani wengi huinama
matumbo yakishajaaa, kwa daku la jana yake
utapata magensium,upunguze kuvimbiwaaaa
hahaaahaaa umedata
X-Paster hodi nakuja, Jinius sichukie,
Tumaini kwako naja, Sadeeq unisikie,
Hafif andaa hoja, MziziMkavu nisikie,
Ramadhani ni mfungo ama mwabadiri kula.
Nauliza tangu zama, majibu sijayapata,
Nisijeleta dhahama, na jibu kutopata,
Angalizo la mapema, kwa wale wenye utata,
Ramadhani ni mfungo ama mwabadiri kula.
Chonde chonde waungwana, jazba tuweke mbali,
Tukwepe kusuguana, elimu ikawa mbali,
Midomo tukaishona, na likawa chungu swali,
Ramadhani ni mfungo ama mwabadili kula.
Nimehoji tangu zama, majibu hayaridhishi,
Milo yote kutokwama, kutafuna hamuishi,
Chapatti mwazisukuma, na uji mkijinakshi,
Ramadhani ni mfungo am mwabadili kula.
Milo mitatu ya mchana, mwaipeleka usiku,
Tena mwasutama mchana, mwaomba fika usiku,
Ili kuuulipiza mchana, kwa masaa ya usiku,
Ramadhani ni mfungo ama mwabadili kula.
Tena mwaanza futari, pale saa za jioni,
Tena mkiwa munkari, kujikunjua usoni,
Na mmejaa tafakari, zile za daku sahani,
Ramadhani ni mfungo ama mwabadiri kula.
Mwakandamiza majimbi, tena vyakula vizito,
Bila kusahau tambi, ili tumbo liwe zito,
Mwajilaza kwanye kumbi, na mkitoa hewa nzito,
Ramadhani ni mfungo ama mwabadili kula.
Tumaini namaliza, X-Paster tafadhari,
Talmud kupunguza, Sadeeq tahadhari,
Maralia we chomoza, sitaki zako kejeri,
Hivi kweli mnafunga, au mwabadiri ratiba.
Wewe umejifunza wapi Mashairi? kwenye Makanisa ya jehova witnesses? sisi tunafunga kama Bwana Yesu Alivyofunga siku 40 mpaka akaona njaa Bwana Yesu Mtoto wa Maria. Mathayo/ Chapter 4 2. Akafunga siku arobaini mchana na usiku, mwisho akaona njaa.
sasa wewe Mtunga Mashairi unashangaa waislam kufunga Mwezi wa Ramadhani tena siku 30? Tuache na Dini yetu wewe Mtunga Mashairi.
tatizo kubwa lililopo,wananchi walalamika
siku zile za mfungo,vyakula vyauzwa sana
vyakula bei kupanda,kumbe vinaliwa sana
nilifikiri ukiwa mfungo, watu wapunguza kula
Tunafunga Ramadhani, kila pembe ya dunia
Hayo mambo Tan-nzani, si popote namkwambia
Vipi kesi za nyumbani, unahukumu dunia?
Ha ha ha ha ha...asiyejuwa maana haambiwi maana ukimwambia maana..........!mbona haueleweki? hapo kwenye bold, au we ni yahya! ushindwe na ulegee
sideeq wahangaika,kutuletea porojo
kitu moja nakuomba, mwezi utakapoanza
sisahau kunambia,uniungishe magimbi
mihogo na nyanyachungu,bila sahau mbatata
takuuzia bei cheee,ili uchukue vingi
ushindilie kwa daku,usiku kucha bugia
changanya changanya vitu,kwenye ilo tumbo moja
asubuhi kuinama ili uswali vizuri
*Schulchan Aruch, Jore Dia. "A Jew is permitted to rape, cheat and perjure himself; but he must take care that he is not found out, so that Israel may not suffer."
Mbona uana hasira sana? mkuu kama huwezi kutoa ilimu basi peleka malalamiko yako polisiWewe umejifunza wapi Mashairi? kwenye Makanisa ya jehova witnesses? sisi tunafunga kama Bwana Yesu Alivyofunga siku 40 mpaka akaona njaa Bwana Yesu Mtoto wa Maria. Mathayo/ Chapter 4 2. Akafunga siku arobaini mchana na usiku, mwisho akaona njaa.
sasa wewe Mtunga Mashairi unashangaa waislam kufunga Mwezi wa Ramadhani tena siku 30? Tuache na Dini yetu wewe Mtunga Mashairi.
Mathayo 6:16,...tena ninyi mfungapo msiwe kama wenye uso wa kukunjamana; maana hujisumbua nyuso zao ili waonekane na watu kuwa wanafunga Mathayo 16:17,....bali wewe ufungapo jipake mafuta kichwani, unawe uso Mathayo 16:18.....ili usionekane na watu kuwa unafunga, ila baba yako iliye sirini; na Baba yako aonaye sirini atakujazi.Wewe umejifunza wapi Mashairi? kwenye Makanisa ya jehova witnesses? sisi tunafunga kama Bwana Yesu Alivyofunga siku 40 mpaka akaona njaa Bwana Yesu Mtoto wa Maria. Mathayo/ Chapter 4 2. Akafunga siku arobaini mchana na usiku, mwisho akaona njaa. sasa wewe Mtunga Mashairi unashangaa waislam kufunga Mwezi wa Ramadhani tena siku 30?
Yebamoth 59b. A woman who had intercourse with a beast is eligible to marry a Jewish priest. A woman who has sex with a demon is also eligible to marry a Jewish priest.Tena nukuu ambacho hakipo katika Talmudi. Umeikuta wapi? Sema!
(nafikiri unachota pale ambako watu wamefinyanga maneno hovyo na kubandika jina fulani chini linaloonekana kigeni sana - au la? Kama sivyo: Naomba sana utuambie marejeo kabisa)